Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA KUTANGAZA NIA LEO ARUSHA

Wananchi wakigombea lango la kuingia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha kumsikia Edward Lowassa akitangaza nia ya kugombea urais mwaka huu.Muonekano wa jukwaa lililoandaliwa kutumika kwenye shughuli hiyo.Wananchi wakichukua nafasi na kuketi wakisubiri kuanza kwa mkutano huo.Wafuasi wa Lowassa wakionekana wenye furaha na 'amshaamsha.'Muonekano wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha ulivyong'arishwa kuelekea mkutano huo....wakiendelea kuingia uwanjani hapo.Uwanja umependeza.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUWA JIJINI ARUSHA WAKATI MH. LOWASSA ALIPOKUWA AKIELEKEA KWENYE UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID KUTANGAZA NIA YA URAIS

 Sehemu ya Waendesha Bodaboda wa Jijini Arusha wakiusubiria msafara wa Mh. Lowassa, maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Arusha.
 Abiria kwenye basi pia hawakua nyuma kuchua Taswira zako pale walipomuona Mh. Lowassa akiwa kwenye gari lake.
 Sehemu ya wakazi wa Arusha wakimshangilia Mh. Lowassa alipokuwa akipita katika barabara ya Sokoine, Jijini Arusha wakati alielekea kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kutangaza nia.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa: Sina mpango wa kutangaza nia

>Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema hana mpango wa kutangaza nia ya kugombea urais kwa sasa, bali anapenda kushirikiana na waumini na wananchi katika shughuli zao za kimaendeleo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa azidi kuhamasika juu ya kutangaza nia ya kugombea urais

  *awahimiza wananchi kujiandikisha kwa wingi daftari la wapiga kura

Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwasalimia mamia ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu mkoa wa Dodoma, waendesha boda boda na wamachinga wa mkoa huo walioandamana hii leo hadi nyumbani kwake Area D mjini Dodoma kumuomba pindi wakati ukifika kwa mujibu wa taratibu za chama cha Mapinduzi (CCM) asisite kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais.

Lowassa amesema anazidi kuhamasika kufuatia maombi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Pof.Muhongo kutangaza nia leo.

Leo ni zamu ya Profesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kurithi mikoba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Profesa Muhongo anatangaza nia yake leo Mjini Musoma, kwenye Ukumbi wa Open University Hall, kuanzia saa 10 jioni.

 

10 years ago

Habarileo

Balozi Karume kutangaza nia leo

Balozi Ali Karume.JOTO la urais wa awamu ya tano linazidi kupanda miongoni mwa makada wa CCM, baada ya baadhi yao kuanza kutangaza nia, na leo Balozi mstaafu Ali Karume anatarajiwa kufanya hivyo, akilenga kutaka kumrithi Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Muhongo kutangaza nia kuwania urais leo

Profesa Sospter MuhongoWAKATI makada watano wakiwa wamejitokeza kutangaza nia ya kuwania urais kwa tiketi ya chama tawala, CCM, leo ni zamu ya Waziri wa Nishati na Madini aliyejiuzulu, Profesa Sospter Muhongo.

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Vijimambo

HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUWA WAKATI MH. LOWASSA ALIPOKUWA AKIELEKEA KWENYE UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID KUTANGAZA NIA YA URAIS

 Sehemu ya Waendesha Bodaboda wa Jijini Arusha wakiusubiria msafara wa Mh. Lowassa, maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Arusha.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI Wadau wakichukua taswira ya Mh. Lowassa wakati alipotika eneo hilo. Abiria kwenye basi pia hawakua nyuma kuchua Taswira zako pale walipomuona Mh. Lowassa akiwa kwenye gari lake.
 Kila mmoja alikuwa na shauku ya kumuona na kumsabahi kama hivi. Sehemu ya wakazi wa Arusha wakimshangilia Mh. Lowassa alipokuwa akipita katika barabara ya Sokoine,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani