Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF YAFUNGUA KOZI YA MAKOCHA WA VIJANA

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo limefungua kozi ya makocha wa mpira wa miguu kwa watoto na vijana kwa nchi nzima kwa lengo la kuhakikisha vijana wengi wanapata nafasi ya kufundishwa mpira na kuucheza mpira kuanzia katika umri mdogo.
Akifungua kozi hiyo, Katibu Mkuu wa TFF Mwesigwa Selestine amesema ili nchi/Taifa lifanikiwe katika soka ni lazima kuwekeza katika mpira wa watoto na vijana ambao makocha hao ni sehemu ya uwekezaji huo.“Tumekua na mashindano ya Taifa U-13, kikosi cha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kozi ya makocha leseni B yaanza Dar

MAKAMU wa Rais wa Shirikisho la Soka (TFF), Wallace Karia, jana alifungua kozi ya makocha wa soka ya Leseni B inayotambuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Uzinduzi wa kozi...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS WA TOC KUFUNGA KOZI YA MAKOCHA

Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) Gulam Rashid kesho (Oktoba 24 mwaka huu) atafunga kozi ya makocha ya Leseni C ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF).
Hafla ya ufungaji kozi hiyo iliyoshirikisha makocha 32 kutoka Tanzania Bara na Zanzibar na kuandaliwa na TOC kupitia Olympic Solidarity kwa ushirikiano na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) itafanyika saa 5 asubuhi kwenye hosteli za TFF zilizopo Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.
Kozi hiyo ya wiki mbili iliyoanza Oktoba 12...

 

11 years ago

Michuzi

MAKOCHA 35 KUSHIRIKI KOZI YA LESENI C YA CAF

Makocha 35 wameteuliwa kushiriki kozi ya ukocha ya Leseni C ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) itakayofanyika mjini Morogoro kuanzia Novemba 5 hadi 19 mwaka huu.
Kozi hiyo itaendeshwa na Mkufunzi wa CAF, Sunday Kayuni na itafanyikia Mchikichini College ambapo washiriki wote wanatakiwa kuwasilisha vyeti vyao vya ukocha vya ngazi ya Kati (Intermediate) pamoja na vyeti vya kitaaluma vya elimu ya sekondari (academic).
Washiriki wa kozi hiyo ni Abdulmaliki Nemes (Airport FC), Ahmed Haule...

 

10 years ago

Vijimambo

MALINZI AFUNGA KOZI YA MAKOCHA LESENI C’ATOA ANGALIZO KWA WAHITIMU KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO


RAIS wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, amefunga kozi ya wiki mbili ya makocha lesseni C inayotambuliwa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) na kuwataka wahitimu hao kufanyia kazi mafunzo waliyoyapata.  

 Akizungumza kwenye hafla fupi ya kufunga mafunzo hayo, Malinzi amesema kuwa anasikitika kuona makocha wanapata mafunzo kama hayo lakini wanaenda kuweka vyeti vyao ‘makabatini’ na kuacha kufanyia kazi walichojifunza.  

“Hiki mlichokipata kwenye mafunzo haya mnatakiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

TFF tunahitaji makocha wa timu za Taifa

Mwishoni mwa mwezi Februari, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilivunja mkataba na kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen na kukikabidhi kikosi cha Stars kwa muda chini ya mMkurugenzi wa uUfundi wa TFF, Salum Madadi akisaidiwa na kocha Hafidh Badru kutoka Zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

TFF YAIRUKA KIMANGA TAARIFA YA CHAMA CHA MAKOCHA TAFCA

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, limesema taarifa iliyoandikwa na Gazeti moja la tarehe 15, Mei 2015 yenye kichwa cha habari “Nkurunziza ameweka picha mbaya katika soka” haina uhusiano na TFF.  Katika taarifa hiyo katibu wa chama cha makocha nchini (TAFCA), Michael Bundala amenukuliwa akihusisha masuala ya mpira na hali ya kisiasa nchini Burundi.  TFF imesikitishwa na kauli hii na inajitenga nayo. Kwa kua aliyetoa kauli hii ni mwanafamilia ya mpira wa miguu nchini, uongozi wa TFF...

 

10 years ago

GPL

MAKOCHA WACHAGUA VIJANA KUSHIRIKI MICHUANO YA TAIFA U-12

Mwamuzi akiwakagua wachezaji. Kikosi cha timu ya Villa Kids kikiwa katika pozi.…

 

11 years ago

Michuzi

DSW yafungua Vituo 33 vya kuwaweza Vijana Kiuchumi na Kijamii

 Meneja Mkazi wa Miradi wa Shirika lisilo la Kiserikalilimalojishughulisha na masuala ya Changamaoto zitokanazo na ongezeko ya Idadi ya Watu Duniani DSW Bw. Avit Buchwa akizungumza na Afisa Habari kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Jonas Kamaleki wakati wa Maonyesho ya Wiki ya Vijana yanayoendelea mkoani TaboraVijana wa DSW wakifafanua kuhusu progamu ya Kijana Kwa Kijana inayoendeshwa na Shirika l Meneja Mkazi wa Miradi wa Shirika lisilo la...

 

11 years ago

Michuzi

makocha wa Timu ya Barcelona kutoa mafunzo ya makocha wa Tanzania

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Juliana Yassoda (Katikati) akiongea na Wanahabari (Hawapo pichani) kuhusu makocha wa Timu ya Barcelona kutoka nchini Hispania ambao wako nchini kwa ajili ya mafunzo ya makocha wa Tanzania yatakayofanyika kwa muda wa siku mbili.Wengine picha toka kulia ni Balozi wa Spain nchini Mh. Luis Manuel Ceuesta Civis, Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,Kushila Thomas,Kocha Isaac Oriol Guerrero...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani