Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Huduma ya Intaneti Vodacom yarejea


Huduma ya intaneti ya Vodacom imerejea majira ya saa 2:30 usiku tarehe 23 Februari 2020. Tunasikitika kwa usumbufu wote uliyojitokeza. Tumedhamiria Kutoa huduma bora kwa wateja wote na kuzingatia viwango vya kimataifa. Wateja wote waliopatwa na madhara haya watapata fidia na walio nunua bando watarejeshewa kuanzia kesho.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WATEJA WA VODACOM KUPERUZI INTANETI BURE

Dar es Salaam, May 20, 2015: Zaidi ya watumiaji milioni 13 wa mtandao wa simu za mkononi kuanzia leo wataweza kuperuzi internet inayofikia MB100 kwa masaa mawili bure kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa 2 asubuhi kutokana na ofa inayojulikana kama "Good Morning Tanzania" inayotolewa na Vodacom Tanzania. Promosheni hii imeanzishwa kutokana na kuonenakana kuwepo kwa mahitaji makubwa ya matumizi ya data katika kupata  taarifa...

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yawahimiza Watanzania kuendelea na matumizi ya intaneti

Msimamizi wa Mauzo katika duka la Vodacom Tanzania Mlimani City,Salim Salmin(kushoto)akielezea mifumo mbalimbali iliyopo kwenye simu aina ya Vodafone 875 yenye mfumo Adroid inayopatika sasa kwa bei ya shilingi 100, 000/- katika maduka yote ya kampuni hiyo. Simu hiyo ni ya kisasa iliyounganishwa na 3G mteja anaweza kuperuzi mitandao ya Facebook, Whatsap, Twitter, Viber, na Instagram.Pamoja naye ni mfanyakazi wa duka hilo Jihan Dimachck. Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TTCL kuimarisha huduma za intaneti

KAMPUNI ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) imewashawishi Watanzania kuendelea kutumia huduma zake mwaka 2014, huku ikiahidi kuimarisha huduma katika sauti, data na intaneti. Ahadi hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana...

 

9 years ago

BBCSwahili

Huduma ya treni yarejea Kampala

Kwa mara ya mwisho abiria wa treni kutumia stesheni ya Kampala ilikuwa mwaka 1998. Leo basi, huduma ya treni imerejea tena kwenye stesheni hiyo ya Kampala, na watu wamefurahia.

 

10 years ago

Habarileo

Huduma ya maji Dar yarejea tena

BAADA ya wakazi wa Dar es Salaam na Bagamoyo kukaa bila maji takribani siku nane, hatimaye baadhi ya maeneo yameanza kupata maji baada ya matengenezo yaliyokuwa yanafanyika kukamilika.

 

9 years ago

Mwananchi

Wataka kila nyumba iwe na huduma ya intaneti

Serikali imetakiwa kuhakikisha mawasiliano ya intaneti yenye kasi yanafika kwenye makazi ya watu na maeneo yote ya kazi ili kuwa na uhakika wa elimu, biashara na masoko.

 

10 years ago

Michuzi

Wateja wote wa Vodacom Tanzania kuperuzi intaneti bure kwa masaa 2 kila siku asubuhi

 Zaidi ya watumiaji milioni 13 wa mtandao wa simu za mkononi kuanzia leo wataweza kuperuzi internet inayofikia MB100 kwa masaa mawili bure kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa 2 asubuhi kutokana na ofa inayojulikana kama "Good Morning Tanzania" inayotolewa na Vodacom Tanzania.

Promosheni hii imeanzishwa kutokana na kuonenakana kuwepo kwa mahitaji makubwa ya matumizi ya data katika kupata  taarifa kupitia mtandao wa intaneti.Vodacom Tanzania siku zote imekuwa mstari wa mbele kubuni huduma...

 

9 years ago

Dewji Blog

Huduma ya Tigo Pesa yarejea baada ya maboresho makubwa ya mfumo

unnamed

 

Huduma ya kifedha ya simu za mkononi nchini Tigo Pesa imerejesha huduma zake baada ya kusitishwa kwa muda mwishoni mwa wiki ili kufanya majaribio ya mfumo wa huduma ulioboreshwa.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na kampuni leo jijini Dar es Salaam ilisema huduma ya Tigo Pesa ilirejea tena siku ya Jumapili alasiri baada ya kuzimwa kwa muda wa masaa 17 kuanzia Jumamosi saa mbili usiku.

Sehemu ya taarifa ilisomeka kwamba: “Tunafuraha kuwataarifu wateja wetu kuwa huduma ya Tigo Pesa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani