Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TTCL kuimarisha huduma za intaneti

KAMPUNI ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) imewashawishi Watanzania kuendelea kutumia huduma zake mwaka 2014, huku ikiahidi kuimarisha huduma katika sauti, data na intaneti. Ahadi hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

DK. GHARIB BILAL AZINDUWA KITUO CHA MAWASILIANO YA INTANETI IP POP CHA TTCL


Pichani Juu ni Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal (kulia) akizinduwa rasmi kwa niaba ya Rais wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete Kituo cha Mawasiliano ya Intaneti (Internet Protocal Point of Presence-IP POP) cha Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL) leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa akishuhudia.
 Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal (wa pili kushoto) akipata maelezo namna kituo cha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal azindua Kituo cha Mawasiliano ya Intaneti IP POP cha TTCL

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib, akipata maelezo kuhusu utendaji kazi wa mitambo ya kutunzia kumbukumbu, kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Bidhaa za Shirika la Simu Tanzania, TTCL, Issaya Ernest, wakati Dkt Bilal, alipotembelea kituo hicho cha kutunzia kumbukumbu cha Taifa (National Internet Data Centre) Kijitonyama, jana.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na...

 

5 years ago

Michuzi

Huduma ya Intaneti Vodacom yarejea


Huduma ya intaneti ya Vodacom imerejea majira ya saa 2:30 usiku tarehe 23 Februari 2020. Tunasikitika kwa usumbufu wote uliyojitokeza. Tumedhamiria Kutoa huduma bora kwa wateja wote na kuzingatia viwango vya kimataifa. Wateja wote waliopatwa na madhara haya watapata fidia na walio nunua bando watarejeshewa kuanzia kesho.

 

9 years ago

Mwananchi

Wataka kila nyumba iwe na huduma ya intaneti

Serikali imetakiwa kuhakikisha mawasiliano ya intaneti yenye kasi yanafika kwenye makazi ya watu na maeneo yote ya kazi ili kuwa na uhakika wa elimu, biashara na masoko.

 

9 years ago

Michuzi

SMILE COMMUNICATIONS YAPANUA HUDUMA MTANDAO WAKE WA INTANETI YA 4G LTE KUFIKIA MIJI SABA TANZANIA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dr. Ally Simba akizungumza kwenye hafla maalumu iliyoandaliwa na kampuni ya Smile Communications Tanzania kutangaza upanuzi wa huduma ya mtandao wake wa intaneti ya 4G LTE katika mikoa ya Mbeya, Mwanza, Moshi, Dodoma na Morogoro ikilenga kuleta mapinduzi katika utoaji wa huduma ya internet yenye kasi katika maeneo mengi zaidi nchiniMeneja Mkazi wa Smile Communications Tanzania, Bw. Eric Behner akizungumza kwenye hafla maalumu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo na Huawei zatoa msaada wa Kompyuta 10 na huduma ya Intaneti kwa Shule ya msingi Chuda Mkoani Tanga

8

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles akikabidhi msaada wa Kompyuta zenye intaneti ya bure ya Tigo kwa  Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Chuda Mkoani Tanga Bw. Omari Masukuzi hiyo ni moja kati ya kompyuta 10 zilitolewa na kampuni ya Tigo pamoja na Huawei kwa shule hiyo. Wanaoshuhudia wa pili toka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe.Magalula Said Magalula, Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa Huawei  Jin Liguo na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe.Abdallah Suleiman.

7

Wanafunzi...

 

9 years ago

Dewji Blog

TTCL kuzindua Huduma ya 4G LTE kesho

hqdefault

Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) inazindua rasmi teknolojia ya Long Term Evolution (LTE) inayojulikana kwa jina la mtandao wa 4G. Awamu ya kwanza inayoanza leo siku ya uzinduzi itatoa huduma katika maeneo 11 Jijini Dar es salaam.

Maeneo hayo ni pamoja na  Uwanja wa Ndege wa Mwl J.K. Nyerere, Pugu Road, Posta Mpya, Upanga, Kinondoni, Ubungo, Oysterbay, Mwenge, Mbezi Tangibovu,  Mbezi Exchange, Kunduchi Salasala na Wazo Tegeta.  Awamu pili itakuwa kupeleka mawasiliano hayo katika maeneo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali kuimarisha huduma za kifedha 

SERIKALI imedhamiria kuimarisha upatikanaji wa huduma za fedha nchini, ili kufikia asilimia 50 ifikapo mwaka 2016. Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa alisema hayo mjini Dodoma Juzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani