Serikali kuimarisha huduma za kifedhaÂ
SERIKALI imedhamiria kuimarisha upatikanaji wa huduma za fedha nchini, ili kufikia asilimia 50 ifikapo mwaka 2016. Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa alisema hayo mjini Dodoma Juzi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV06 Jan
Serikali ya Zanzibar yaweka mpango mkakati Kuimarisha Huduma Za Afya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dokta Ali Mohammed Shein amesema mpango mkakati wa Serikali ni kuimarisha huduma za afya na kuigeuza Hospitali kuu ya Mnazi mmoja kuwa ya rufaa kwa majengo na uimarishaji huduma, vifaa na watendaji wa kada hiyo.
Amesema wakati sasa umefika kwa wananchi wa Zanzibar kufaidika na huduma bora za afya kwa urahisi na gharama nafuu kila inapohitajika ili kwenda sambamba na malengo ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 64 ya kuimarisha huduma za...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tVo-vwVUOZs/Xk6ZTkK7psI/AAAAAAALejo/hxuuxcqygKI0i7VuECBESP-SgUJ-qJg5wCLcBGAsYHQ/s72-c/dd%2B%25281%2529.jpg)
RAIS MAGUFULI: SERIKALI ITAENDELEA KUIMARISHA NA KUBORESHA MIFUMO NA MIUNDOMBINU YA UTOAJI HUDUMA YA AFYA NCHINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-tVo-vwVUOZs/Xk6ZTkK7psI/AAAAAAALejo/hxuuxcqygKI0i7VuECBESP-SgUJ-qJg5wCLcBGAsYHQ/s640/dd%2B%25281%2529.jpg)
RAIS Dkt. John Magufuli amesema katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake, Serikali imeweza kuajiri watumishi wapya 13479 wa sekta ya afya sambamba na kuimarisha na kuboresha miundombinu ya huduma za afya za ikiwemo ujenzi na ukarabati wa zahanati, vituo vya afya na hospitali za wilaya katika maeneo mbalimbali nchini.
Akizungumza leo Alhamisi (Februari 20, 2020) Jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya Madaktari Tanzania, Rais Magufuli alisema Serikali ya Awamu ya Tano...
10 years ago
Habarileo30 Mar
TPA kuimarisha huduma bandarini
UONGOZI wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), umeelezea nia yake ya kuzidi kuboresha Bandari ya Dar es Salaam na kuifanya kuwa lango kuu la kupitisha mizigo kwa nchi za ukanda wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini.
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
TTCL kuimarisha huduma za intaneti
KAMPUNI ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) imewashawishi Watanzania kuendelea kutumia huduma zake mwaka 2014, huku ikiahidi kuimarisha huduma katika sauti, data na intaneti. Ahadi hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana...
9 years ago
MichuziSerikali yaendelea kuimarisha ukaguzi wa Ndani Wizara na Taasisi za Serikali
5 years ago
MichuziBIL. 33 KUTUMIKA KUIMARISHA HUDUMA ZA KIJAMII NCHINI
Wizara ya Afya, kupitia Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia Jumla ya shilingi bilioni 33.195 ili kutekeleza shughuli mbalimbali za kijamii hususani zilizopewa kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2020/21.
Akiwasilisha Hotuba ya Wizara, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema katika mwaka wa fedha 2020/21 Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia kiasi hicho cha fedha kwa lengo la kuimarisha huduma na mafunzo kwenye...
9 years ago
StarTV15 Dec
UKAWA waahidi kuimarisha huduma za afya, maji safi katika Kampeni Za Ubunge Masasi
Ikiwa zimebaki siku tano kufanyika kwa uchaguzi mdogo katika jimbo la Masasi Mkoani Mtwara Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA vimeendelea kufanya kampeni ambapo suala la kuboresha uuzwaji wa Korosho,Upatikanaji wa maji safi na Salama pamoja na huduma bora katika vituo vya afya kuchukua nafasi katika kampeni hizo.
Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Chadema Pamoja na Chama cha wananchii CUf wameendelea kufanya kampeni huku wakiwaomba wananchii kumchagua kundambanda kuwa...
10 years ago
Habarileo30 Apr
Serikali yatangaza mikakati ya kuimarisha shilingi
WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya Salum amesema kupatikana kwa mikopo ya kibiashara yenye thamani ya dola za Marekani milioni 500 zitasaidia kupunguza kushuka kwa thamani ya Shilingi ya Tanzania.