Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPA kuimarisha huduma bandarini

UONGOZI wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), umeelezea nia yake ya kuzidi kuboresha Bandari ya Dar es Salaam na kuifanya kuwa lango kuu la kupitisha mizigo kwa nchi za ukanda wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Polisi TPA watunukiwa kwa kuimarisha usalama bandarini

Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akimpongeza mmoja wa askari wa bandari ya Dar es Salaam, Cornel Kufahaidhuru katika hafla fupi ya kuwazawadia askari 18 wa mamlaka ya bandari Tanzania (TPA) kwa kazi nzuri ya kuimarisha ulinzi katika bandari hiyo jana jijini Dar es Salaam.
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
Serikali imetoa sifa kwa kitengo cha usalama cha Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kwa kuimarisha ulinzi katika bandari na hivyo kuchangia kuifanya bandari hiyo kuongeza...

 

11 years ago

Mwananchi

Mpango wa huduma saa 24 bandarini kukamilika karibuni

Mamlaka ya Bandari (TPA),ipo katika hatua za mwisho kabla ya kuanza kutekeleza mpango wa huduma wa saa 24 baada ya kukamilisha mambo ya msingi na wadau ambao ni pamoja na Mamlaka ya Mapato (TRA) na mabenki.

 

10 years ago

Habarileo

TPA kuanza kuboresha huduma Lubumbashi

WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel SittaMAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema itahakikisha huduma zinazotolewa katika ofisi yake ndogo mjini Lubumbashi, zinaimarishwa kwa manufaa ya Tanzania na nchi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali kuimarisha huduma za kifedha 

SERIKALI imedhamiria kuimarisha upatikanaji wa huduma za fedha nchini, ili kufikia asilimia 50 ifikapo mwaka 2016. Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa alisema hayo mjini Dodoma Juzi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TTCL kuimarisha huduma za intaneti

KAMPUNI ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) imewashawishi Watanzania kuendelea kutumia huduma zake mwaka 2014, huku ikiahidi kuimarisha huduma katika sauti, data na intaneti. Ahadi hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana...

 

5 years ago

Michuzi

BIL. 33 KUTUMIKA KUIMARISHA HUDUMA ZA KIJAMII NCHINI

Na WAMJW.
Wizara ya Afya, kupitia Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia Jumla ya shilingi bilioni 33.195 ili kutekeleza shughuli mbalimbali za kijamii hususani zilizopewa kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2020/21.

Akiwasilisha Hotuba ya Wizara, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema katika mwaka wa fedha 2020/21 Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia kiasi hicho cha fedha kwa lengo la kuimarisha huduma na mafunzo kwenye...

 

9 years ago

StarTV

Serikali ya Zanzibar yaweka mpango mkakati Kuimarisha Huduma Za Afya

Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dokta Ali Mohammed Shein  amesema mpango mkakati wa  Serikali ni kuimarisha  huduma za afya na kuigeuza Hospitali kuu ya Mnazi mmoja kuwa ya rufaa kwa majengo na uimarishaji huduma, vifaa na watendaji wa kada hiyo.

Amesema wakati sasa umefika kwa wananchi wa Zanzibar kufaidika na huduma bora za afya  kwa urahisi na gharama nafuu kila inapohitajika ili kwenda sambamba na malengo ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 64 ya kuimarisha huduma za...

 

9 years ago

StarTV

UKAWA waahidi kuimarisha huduma za afya, maji safi katika Kampeni Za Ubunge Masasi

Ikiwa zimebaki siku tano kufanyika kwa uchaguzi mdogo katika jimbo la Masasi Mkoani Mtwara Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA vimeendelea kufanya kampeni ambapo suala la kuboresha uuzwaji wa Korosho,Upatikanaji wa maji safi na Salama pamoja na huduma bora katika vituo vya afya kuchukua nafasi katika kampeni hizo.

Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Chadema Pamoja na Chama cha wananchii CUf wameendelea kufanya kampeni huku wakiwaomba  wananchii kumchagua kundambanda  kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani