Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali ya Zanzibar yaweka mpango mkakati Kuimarisha Huduma Za Afya

Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dokta Ali Mohammed Shein  amesema mpango mkakati wa  Serikali ni kuimarisha  huduma za afya na kuigeuza Hospitali kuu ya Mnazi mmoja kuwa ya rufaa kwa majengo na uimarishaji huduma, vifaa na watendaji wa kada hiyo.

Amesema wakati sasa umefika kwa wananchi wa Zanzibar kufaidika na huduma bora za afya  kwa urahisi na gharama nafuu kila inapohitajika ili kwenda sambamba na malengo ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 64 ya kuimarisha huduma za...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZINDUA MUONGOZO WA MPANGO HUDUMA ZA AFYA KATIKA JAMII PAMOJA NA MATUMIZI YA DASHBODI YA VIASHIRIA YA AFYA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akisoma maelezo baada ya kuzindua Muongozo wa Mpango wa Watoa huduma ya Afya ya Jamii, Dar es Salaam jana. Wizara ya Afya imezindua muongozo huwa ikiwa ni muendelezo wa kuendelea kutoa kipaumbele katika kuimarisha huduma za kinga, ikiwemo elimu ya afya na uhamasishaji, lishe, udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza kama Ukimwi na afya ya mama na mtoto.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Ummy...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI: SERIKALI ITAENDELEA KUIMARISHA NA KUBORESHA MIFUMO NA MIUNDOMBINU YA UTOAJI HUDUMA YA AFYA NCHINI


RAIS Dkt. John Magufuli amesema katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake, Serikali imeweza kuajiri watumishi wapya 13479 wa sekta ya afya sambamba na kuimarisha na kuboresha miundombinu ya huduma za afya za ikiwemo ujenzi na ukarabati wa zahanati, vituo vya afya na hospitali za wilaya katika maeneo mbalimbali nchini.

Akizungumza leo Alhamisi (Februari 20, 2020) Jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya Madaktari Tanzania, Rais Magufuli alisema Serikali ya Awamu ya Tano...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yaweka Mkakati kupunguza changamoto ya ajira kwa Vijana

 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Fatma Mwassa akizungumza na wananchi jana wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Vijana yanayofanyika katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora.  Katibu Mkuu wa Wizaraya Habari.Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akisalimia wananchi jana wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Vijana yanayofanyika katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora. Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Kudra Mwinyimvua akisalimia wananchi jana wakati wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali kuimarisha huduma za kifedha 

SERIKALI imedhamiria kuimarisha upatikanaji wa huduma za fedha nchini, ili kufikia asilimia 50 ifikapo mwaka 2016. Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa alisema hayo mjini Dodoma Juzi...

 

9 years ago

StarTV

UKAWA waahidi kuimarisha huduma za afya, maji safi katika Kampeni Za Ubunge Masasi

Ikiwa zimebaki siku tano kufanyika kwa uchaguzi mdogo katika jimbo la Masasi Mkoani Mtwara Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA vimeendelea kufanya kampeni ambapo suala la kuboresha uuzwaji wa Korosho,Upatikanaji wa maji safi na Salama pamoja na huduma bora katika vituo vya afya kuchukua nafasi katika kampeni hizo.

Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Chadema Pamoja na Chama cha wananchii CUf wameendelea kufanya kampeni huku wakiwaomba  wananchii kumchagua kundambanda  kuwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga yaweka mkakati

Yanga-vs-Etoile-du-Sahel-1-e1429432765972ABDUCADO EMMANUEL NA JENNIFER ULLEMBO, DAR

WAWAKILISHI pekee wa Tanzania katika michuano ya kimataifa timu ya Yanga chini ya kocha wao, Hans van Pluijm wamewawekea mkakati mzito wapinzani wao Etoile du Sahel ya Tunisia kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, lengo ni kuing’oa kwenye michuano hiyo.

Moja ya mkakati huo ni Pluijm kupanga kuwatumia marafiki zake wa Tunisia kuhakikisha anapata taarifa zao za kina ikiwemo kujua udhaifu wao.

Yanga iliyolazimishwa sare ya bao 1-1 nyumbani na Watunisia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani