Serikali yaweka Mkakati kupunguza changamoto ya ajira kwa Vijana
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Fatma Mwassa akizungumza na wananchi jana wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Vijana yanayofanyika katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora. Katibu Mkuu wa Wizaraya Habari.Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akisalimia wananchi jana wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Vijana yanayofanyika katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora. Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Kudra Mwinyimvua akisalimia wananchi jana wakati wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog19 Sep
Serikali yakiri changamoto licha ya mafanikio ajira kwa vijana
Meza kuu katika warsha ya vijana na ajira iliyofadhiliwa na Mpango wa Shirika la Utafiti wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka Canada (IDRC) na kuratibiwa na ESRF. Kutoka kushoto ni Afisa kutoka Wizara ya Kazi na Ajira kitengo cha Ajira, Joseph Nganga, Mkurugenzi wa Kazi katika Wizara ya Kazi na Ajira, Ally M. Ahmed,
Mkurugenzi wa Salama Foundation, Shadrack John Msuya akiwasilisha mapendekezo ya vijana juu ya namna ambavyo vipaji, elimu na ubunifu vinavyoweza kutengeneza ajira...
10 years ago
MichuziGODTEC yasaidia kupunguza tatizo la ajira kwa Vijana
9 years ago
MichuziMAGUFULI AHIDI KUFUFUA VIWANDA MKOANI TANGA KUPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Tanga kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya angamano,jioni ya leo ambapo aliahidi kuboresha Bandari ya...
9 years ago
StarTV06 Jan
Serikali ya Zanzibar yaweka mpango mkakati Kuimarisha Huduma Za Afya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dokta Ali Mohammed Shein amesema mpango mkakati wa Serikali ni kuimarisha huduma za afya na kuigeuza Hospitali kuu ya Mnazi mmoja kuwa ya rufaa kwa majengo na uimarishaji huduma, vifaa na watendaji wa kada hiyo.
Amesema wakati sasa umefika kwa wananchi wa Zanzibar kufaidika na huduma bora za afya kwa urahisi na gharama nafuu kila inapohitajika ili kwenda sambamba na malengo ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 64 ya kuimarisha huduma za...
9 years ago
MichuziMGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIBAHA MJINI AHAIDI KUPAMBANA NA CHANGAMOTO YA AJIRA KWA VIJANA
10 years ago
Mwananchi14 Jul
Lipumba: Serikali imeshindwa kutengeneza ajira kwa vijana
10 years ago
Mwananchi25 Oct
Dk Migiro aitetea Serikali uhaba wa ajira kwa vijana
10 years ago
Mwananchi20 Jan
Serikali yasikia kilio cha ajira kwa vijana
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Kupunguza uchumi wa taslimu uwe mkakati wa kupunguza ujambazi
MATUKIO ya majambazi kuwavamia watu na kuwakuta na fedha nyingi ni mengi. Juzi sista wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka – Dar es Salaam, alivamiwa na kupigwa risasi na majambazi,...