Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kupunguza uchumi wa taslimu uwe mkakati wa kupunguza ujambazi

MATUKIO ya majambazi kuwavamia watu na kuwakuta na fedha nyingi ni mengi. Juzi sista wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka – Dar es Salaam, alivamiwa na kupigwa risasi na majambazi,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

semina ya mkakati wa Rasimu ya mawasiliano ya Mazingira endelevu kwa ukuaji wa uchumi na kupunguza umaskini Tanzania

 Wadau wa Taasisi mbalimbali wakisikiliza na kutoa maoni ya Rasimu ya kwanza ya mkakati wa Mawasiliano ya  Mazingira Endelevu wa Ukuaji wa Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania. . katika Ukumbi wa NIMRI  Mkurugenzi Msaidi wa Ofis ya Makamu wa Raisi Idara ya Mazingira Bi Magdalena J.Mtenga (wa kwanza kushoto) akifunguwa rasmi Semina ya Rasimu ya kwanza ya  Mkakati wa Mawasiliano ya  Mazingira  Endelevu wa ukuaji wa  u chumi na kupunguza Umaskini  Tanzania. na kulia ni Alhaji.Selemani...

 

11 years ago

Michuzi

semina ya mkakati wa Rasimu ya mawasiliano ya Mazingira endelevu kwa ukuaji wa uchumi na kupunguza umaskini Tanzania yafanyika leo

Mkurugenzi Msaidi wa Ofis ya Makamu wa Raisi Idara ya Mazingira Bi Magdalena J.Mtenga (wa kwanza kushoto) akifunguwa rasmi Semina ya Rasimu ya kwanza ya Mkakati wa Mawasiliano ya Mazingira Endelevu wa ukuaji wa u chumi na kupunguza Umaskini Tanzania. na kulia ni Alhaji.Selemani Kisimbo ni Kaimu Mkurungezi wa Idara ya Mazingira na wadau wa Taasisi mbalimbali. wadau wa Taasisi mbalimbali wakisikiliza na kutoa maoni ya Rasimu ya kwanza ya mkakati wa Mawasiliano ya Mazingira Endelevu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Hakuna mkakati thabiti wa kupunguza tatizo la Machinga

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, juzi alitoa siku mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo, wanaojulikana zaidi kwa jina la Machinga, kubomoa mabanda yao eneo la Jangwani, Dar es Salaam kwa maelezo kuwa ofisi yake haijatenga sehemu hiyo kwa ajili ya biashara.

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yaweka Mkakati kupunguza changamoto ya ajira kwa Vijana

 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Fatma Mwassa akizungumza na wananchi jana wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Vijana yanayofanyika katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora.  Katibu Mkuu wa Wizaraya Habari.Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akisalimia wananchi jana wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Vijana yanayofanyika katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora. Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Kudra Mwinyimvua akisalimia wananchi jana wakati wa...

 

11 years ago

GPL

OXFAM YAZINDUA MKAKATI WA KUPUNGUZA ATHARI ZA TABIA NCHI KWA WAKULIMA‏

Kutoka Kushoto ni Marc Wegerif ambaye ni Economic Justice Campaign, Fazal Issa Afisa wa Miradi na Eluka Kibona Meneja wa Ushawishi  wote kutoka OXFAM .
Meneja wa Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona akizungumzia mabadiliko ya Tabia nchi jinsi yanavyo athiri katika Kilimo .…

 

5 years ago

CCM Blog

JUHUDI ZA KONGRESI ZA KUPUNGUZA UCHUMI WA VITA WA TRUMP

Juhudi za Kongresi za kupunguza uchu wa vita wa TrumpUchu wa vita wa Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran na hasa baada ya kumuuga kigaidi Luteni Qassim Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na watu wengine kadhaa aliokuwa ameandamana nao huko Iraq, umezua wasiwasi mkubwa ndani ya Kongresi ya Marekani na hasa kwa Wademokrat, na hivyo kuwafanya watafute njia ya haraka ya kupunguza madaraka ya Trump katika kuanzisha vita na Iran.Baada ya bunge la Kongresi kupitisha mwasada wa kupanguza...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO MKAKATI WA KUONGEZA KASI YA KUPUNGUZA VIFO VYA UZAZI, WATOTO ‏

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akionesha jedwali la alama za ufuatiliaji wa utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana. Pamoja naye ni Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kebwe Stephen Kebwe .…
...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete azindua mpango mkakati wa kuongeza kasi ya kupunguza Vifo vya Uzazi na vya Watoto leo

a1

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akionesha jedwali la  alama za ufuatiliaji wa utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutani wa kimataifa wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni Naibu Waziri wa Afya Dkt Kebwe Sthephen Kebwe.

a2

a3

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kitabu Bibi Halima Shariff, mmoja wa wadau wa afya kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani