Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


semina ya mkakati wa Rasimu ya mawasiliano ya Mazingira endelevu kwa ukuaji wa uchumi na kupunguza umaskini Tanzania

 Wadau wa Taasisi mbalimbali wakisikiliza na kutoa maoni ya Rasimu ya kwanza ya mkakati wa Mawasiliano ya  Mazingira Endelevu wa Ukuaji wa Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania. . katika Ukumbi wa NIMRI  Mkurugenzi Msaidi wa Ofis ya Makamu wa Raisi Idara ya Mazingira Bi Magdalena J.Mtenga (wa kwanza kushoto) akifunguwa rasmi Semina ya Rasimu ya kwanza ya  Mkakati wa Mawasiliano ya  Mazingira  Endelevu wa ukuaji wa  u chumi na kupunguza Umaskini  Tanzania. na kulia ni Alhaji.Selemani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

semina ya mkakati wa Rasimu ya mawasiliano ya Mazingira endelevu kwa ukuaji wa uchumi na kupunguza umaskini Tanzania yafanyika leo

Mkurugenzi Msaidi wa Ofis ya Makamu wa Raisi Idara ya Mazingira Bi Magdalena J.Mtenga (wa kwanza kushoto) akifunguwa rasmi Semina ya Rasimu ya kwanza ya Mkakati wa Mawasiliano ya Mazingira Endelevu wa ukuaji wa u chumi na kupunguza Umaskini Tanzania. na kulia ni Alhaji.Selemani Kisimbo ni Kaimu Mkurungezi wa Idara ya Mazingira na wadau wa Taasisi mbalimbali. wadau wa Taasisi mbalimbali wakisikiliza na kutoa maoni ya Rasimu ya kwanza ya mkakati wa Mawasiliano ya Mazingira Endelevu wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kupunguza uchumi wa taslimu uwe mkakati wa kupunguza ujambazi

MATUKIO ya majambazi kuwavamia watu na kuwakuta na fedha nyingi ni mengi. Juzi sista wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka – Dar es Salaam, alivamiwa na kupigwa risasi na majambazi,...

 

5 years ago

Michuzi

Ukuaji wa uchumi unavyotegemea sekta ya mawasiliano ya simu za mkononi

TAKWIMU zinaonyesha kwamba Tanzania imepitia kipindi kizuri cha ukuaji wa kiuchumi katika muongo mmoja uliopita na kuifanya hivi sasa kuwa moja ya chumi zinazokua vizuri katika eneo la Afrika Mashariki.
Ripoti ya UK ThinkTank inaongeza kuwa mafanikio ya ukuaji wa kiuchumi Tanzania yamewezeshwa na juhudi za serikali kukuza sekta ya viwanda na kutengeneza mazingira bora ya uwekezaji katika sekta mbalimbali. 
Matokeo ya juhudu hizo yameifanya Tanzania kuwa mmoja ya wauzaji wakubwa nje wa dhahabu...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkapa: Kuboresha mazingira ya biashara kutachochea ukuaji uchumi

Rais mstaafu, Benjamin Mkapa anaamini Bara la Afrika linahitaji kuongeza juhudi katika kuboresha mazingira ya biashara.

 

5 years ago

Michuzi

Mazingira bora ya uwekezaji na biashara ni nguzo ya ukuaji wa sekta ya mawasiliano ya simu

Teknolojia ya dijitali imebadili nchi nyingi barani Afrika. Programu mpya za simu zimesaidia biashara za kila namna kuibuka na kukua. Mabadiliko haya yamekuwa na tija kubwa kwenye sekta ya ajira na uzalishaji mali na yameleta ahueni kiuchumi kwa nchi nyingi barani hapa.
Katika nchi yangu za Afrika maendeleo haya ya kidijitali yamewezakana kutokana na uwekezaji mkubwa katika miundombinu ya mawasiliano pamoja na serikali za nchi husika kuunga mkono juhudi za sekta za sekta binafsi kisera na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tanzania na miaka 10 ya ukuaji wa kasi na kuimarika kwa sekta ya Mawasiliano

tcra2

TCRA , MIAKA 10 YA UKUWAJI WA SEKTA YA MAWASILIANO, TANZANIA.doc

 

10 years ago

Michuzi

BUNGE LAANDAA SEMINA MAALUMU KUHUSU UMUHIMU WA KUWA NA MPANGO MKAKATI WA MAWASILIANO NA NAMNA BORA YA KUPOKEA MAONI YA WADAU WAKATI WA KAMATI ZAKE

  Mkurugennzi msaidizi katika Idara ya Kamati kutoka Ofisi ya Bunge Ndg. Angumbwike Ng'wavi akitoa Mada kuhusu umuhimu kuwa na taarifa za  pamoja za kibunge kwa ajili ya wadau mbalimbali wa Bunge  na namna ya utekelezaji wake wakati wa Semina ya kuwajengea uwezo wadau wa Bunge kutoka Serikarini na taasisi binafisi. Semina hiyo imeandaliwa na Bunge kupitia mradi wake wa kuwajengea Wabunge na Watumishi uwezo unaofadhiliwa na UNDP.  Maafisa wa Serikali pamoja na Wadau mbalimbali wa Bunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani