JUHUDI ZA KONGRESI ZA KUPUNGUZA UCHUMI WA VITA WA TRUMP
Uchu wa vita wa Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran na hasa baada ya kumuuga kigaidi Luteni Qassim Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na watu wengine kadhaa aliokuwa ameandamana nao huko Iraq, umezua wasiwasi mkubwa ndani ya Kongresi ya Marekani na hasa kwa Wademokrat, na hivyo kuwafanya watafute njia ya haraka ya kupunguza madaraka ya Trump katika kuanzisha vita na Iran.Baada ya bunge la Kongresi kupitisha mwasada wa kupanguza...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Kupunguza uchumi wa taslimu uwe mkakati wa kupunguza ujambazi
MATUKIO ya majambazi kuwavamia watu na kuwakuta na fedha nyingi ni mengi. Juzi sista wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka – Dar es Salaam, alivamiwa na kupigwa risasi na majambazi,...
5 years ago
CCM Blog10 May
OBAMA AMKOSOA TRUMP VITA DHIDI YA CORONA
![rais wa zamani Barrack Obama](https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/15307/production/_112219768_7b567f75-bbf6-41e3-afd0-5f30b654c117.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-IWForiY14cw/Uw4j0g7cfhI/AAAAAAAFP3M/hFi9pCPcHyo/s72-c/unnamed+(33).jpg)
semina ya mkakati wa Rasimu ya mawasiliano ya Mazingira endelevu kwa ukuaji wa uchumi na kupunguza umaskini Tanzania
![](http://4.bp.blogspot.com/-IWForiY14cw/Uw4j0g7cfhI/AAAAAAAFP3M/hFi9pCPcHyo/s1600/unnamed+(33).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-5nfFqy1kz60/Uw4j1HvmL-I/AAAAAAAFP3Q/lnXB4znmBEk/s1600/unnamed+(34).jpg)
11 years ago
Michuzisemina ya mkakati wa Rasimu ya mawasiliano ya Mazingira endelevu kwa ukuaji wa uchumi na kupunguza umaskini Tanzania yafanyika leo
5 years ago
MichuziKUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana.
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...
5 years ago
BBCSwahili20 Jun
Mary Trump: Kumbukumbu ya mpwa wa rais Donald Trump inayomdhalilisha rais huyo
10 years ago
Bongo Movies19 May
Bomu Jipya: Hii ni Vita ya Utamaduni, Ni Vita ya Kutawaliwa Kiakili
AWALI kuna wale waliolalamikia kuhusu maadili hasa pale filamu za kitanzania zilipozuiliwa na watayarishaji wetu wakashindwa kujenga hoja kwa kuuliza kwanini sinema zao zikitamka tu neno la Shoga wanaambiwa watoe lakini za kutoka nje Mashoga wanaonekana, hapa kuna maswali mengi sana.
1. Kwanini balozi wa Korea kwa niaba ya nchi yake alikuwa anatoa tamthilia za kikorea zionyeshwe ITV bure?
2. Kwanini serikali ya China inaingia gharama za kutafsiri tamthilia zao kwa kiswahili na kuzitoa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-U6YfGmXUcTg/VZVKTbVvkfI/AAAAAAAAw8A/UhYrsWwreYU/s72-c/DSC_0241-FILEminimizer.jpg)
Makongoro: Lowassa sikumuona Vita ya Kagera, Labda alikuja baada ya vita kuburudisha wanajeshi
![](http://2.bp.blogspot.com/-U6YfGmXUcTg/VZVKTbVvkfI/AAAAAAAAw8A/UhYrsWwreYU/s640/DSC_0241-FILEminimizer.jpg)
CHARLES Makongoro Nyerere (CMN) ni miongoni mwa wanachama wa CCM waliotangaza nia ya kutaka kuchaguliwa kuwania urais kupitia chama hicho mwaka huu. Raia Mwema lilifanya naye mahojiano wiki hii nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Endelea
-RAIA MWEMA: Kwanini wana CCM wanatakiwa wakuchague wewe uwe mgombea wao na si mwingine miongoni mwa wenzako 41 waliojitokeza kuwania nafasi hiyo?MAKONGORO: Mimi si...
10 years ago
Mwananchi02 Jul
UCHUMI: Tukiboresha teknolojia, tutakuza uchumi