OBAMA AMKOSOA TRUMP VITA DHIDI YA CORONA
Image captionrais wa zamani Barrack ObamaRais wa zamani wa Marekani Barack Obam amemkosoa vikali Rais Donald Trump kwa namna anavyoshughulikia janga la corona.Kauli yake ameitoa alipofanya mazungumzo na wafanyakazi wake wa zamani kuungana na timu ya kampeni ya uchaguzi ya Joe Biden, televisheni ya CNN imeelezaIkulu ya Marekani imejibu kuwa hatua ya Rais "isiyo ya kawaida" ilikuwa "imeokoa maisha ya Wamarekani".Marekani yaidhinisha dawa ya Ebola kutibu CoronaMarekani yahofia mlipuko mpya...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili19 Feb
Obama:Vita ni dhidi ya magaidi si Uislam
5 years ago
BBCSwahili10 May
Virusi vya corona: Obama asema hatua zilizochukuliwa na Trump ni kama 'janga la machafuko'
5 years ago
BBCSwahili17 May
Virusi vya Corona: Obama asema uongozi wa Trump umefeli kukabiliana na ugonjwa huo
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3TLNWyLQgEM/Xr0FQi16nYI/AAAAAAAAH5U/6CtVjuBjf247QiWWEKG7tjO09KVzqjd0gCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200514-WA0011.jpg)
Qwihaya yalikumbuka jeshi la Polisi vita dhidi ya corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-3TLNWyLQgEM/Xr0FQi16nYI/AAAAAAAAH5U/6CtVjuBjf247QiWWEKG7tjO09KVzqjd0gCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200514-WA0011.jpg)
Abichi Masanga, Mkuu wa Jeshi la Polisi Wilayani Mufindi akipokea vifaa vya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kutoka kwa Meneja wa Qwihaya General Enterprises Co Ltd, kampuni inayozalisha nguzo za umeme ya mjini Mafinga. Qwihaya kwa sasa inamiliki viwanda mkoani Iringa na Kugoma
Na Mwandishi wetu, Mafinga
Kampuni inayozalisha nguzo za umeme ya Qwihaya General Enterprise Co Ltd imelikumbuka jeshi la Polisi mjini Mafinga, Wilayani mfindi kwa kutoka vifaa vya kujikinga na maambukizi ya...
5 years ago
MichuziLetshego yasaidia vita dhidi ya ugonjwa wa virusi vya corona
Mbali ya taasisi hiyo, pia taasisi nyingine tisa nazo zilikabidhi msaada wao kwa serikali na kufanya jumla ya Sh Bilioni 3.2 kupatikana kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa huo.
Letshego ilikabidhi msaada huo kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ambaye alipokea kwa niaba ya waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Katika makabidhiano...
5 years ago
MichuziDC IKUNGI AYAPONGEZA MASHIRIKA MAWILI VITA DHIDI YA CORONA MKOANI SINGIDA
5 years ago
BBCSwahili24 May
Virusi vya Corona: China yaionya Marekani dhidi ya kusababisha vita baridi
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Vita dhidi ya ebola ni mapambano dhidi ya adui asiyeonekana
5 years ago
BBCSwahili21 Apr
Virusi vya Corona: Uhamiaji wa nchini Marekani kusitishwa kutokana na janga la corona, asema Trump