Qwihaya yalikumbuka jeshi la Polisi vita dhidi ya corona
Abichi Masanga, Mkuu wa Jeshi la Polisi Wilayani Mufindi akipokea vifaa vya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kutoka kwa Meneja wa Qwihaya General Enterprises Co Ltd, kampuni inayozalisha nguzo za umeme ya mjini Mafinga. Qwihaya kwa sasa inamiliki viwanda mkoani Iringa na Kugoma
Na Mwandishi wetu, Mafinga
Kampuni inayozalisha nguzo za umeme ya Qwihaya General Enterprise Co Ltd imelikumbuka jeshi la Polisi mjini Mafinga, Wilayani mfindi kwa kutoka vifaa vya kujikinga na maambukizi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI LAPOKEA VIFAA KINGA DHIDI YA CORONA.
Kamishna wa Polisi, Kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi CP Shaban Hiki akipokea vifaa kinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona kutoka kwa Balozi wa kampeni ya Mikoni safi, Tanzania salama, Msanii Mrisho Mpoto (Mjomba), tukio lililofanyika katika makao makuu Jeshi la Polisi Ofisi ndogo Jijini Dar es Salaam.
Timu ya uhamasishaji kutoka Wizara ya Afya na Wadau kutoka Shirika lisilo Lakiserikali la Project CLEAR wakimsikiliza Kamishna wa Polisi, Kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi CP...
5 years ago
CCM Blog10 May
OBAMA AMKOSOA TRUMP VITA DHIDI YA CORONA
5 years ago
MichuziLetshego yasaidia vita dhidi ya ugonjwa wa virusi vya corona
Mbali ya taasisi hiyo, pia taasisi nyingine tisa nazo zilikabidhi msaada wao kwa serikali na kufanya jumla ya Sh Bilioni 3.2 kupatikana kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa huo.
Letshego ilikabidhi msaada huo kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ambaye alipokea kwa niaba ya waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Katika makabidhiano...
5 years ago
MichuziDC IKUNGI AYAPONGEZA MASHIRIKA MAWILI VITA DHIDI YA CORONA MKOANI SINGIDA
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo (kulia) akizungumza na timu ya vijana kutoka Mashirika yasiyo ya Kiserikali la Empower Youth Prosperity ( EYP) la mkoani Mbeya na Shirika la Sustanable Environment Management Action (SEMA) la Singida ambao walikuwa wilayani humo jana kutoa elimu ya kujikinga na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona. Katikati ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Winfrida Funto. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Justice Kijazi...
5 years ago
BBCSwahili24 May
Virusi vya Corona: China yaionya Marekani dhidi ya kusababisha vita baridi
5 years ago
MichuziRC HAPI APOKEA MSAADA KUTOKA KWA QWIHAYA KUSAIDIA KUPAMBANA NA CORONA
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
Kampuni ya uzalizaji wa nguzo za umeme ya Qwihaya General Enterprises imekabidhi msaada wa zaidi ya shilingi milioni kumi kwa mkuu wa mkoa...
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI LAMSHIKILIA MKAZI WA MBEYA KWA UPOTOSHAJI KUHUSU CORONA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia JOYCE KEPHAS AKYOO @ MANKA [31] Mfanyabiashara na Mkazi wa Stereo Jijini Mbeya kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo kuhusu ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu [COVID 19] katika Mtandao wa Kijamii.Mtuhumiwa alikamatwa mnamo tarehe 27.04.2020 majira ya saa 13:30 Mchana baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kufanya msako huko eneo la Stereo lililopo Kata ya Manga, Tarafa ya...
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA QWIHAYA YAUNGA MKONO SERIKALI VIFAA KINGA VYA CORONA STENDI YA MAFINGA
Kipima joto kilichotolewa na Kampuni ya Qwihaya General Enterprises Co Ltd kimesababisha wananchi wanaofanya kazi stendi ya Mafinga wilayani Mufindi kusimamisha shughuli zao kwa muda ili wapime joto la miili yao.
Wananchi hao wakiwepo wapiga debe na wafanyabiashara ndogo ndogo walimteua mwenzao, akajifunza kukitumia na baadae walipanga foleni ili kila mmoja apime kujua joto la mwili wake.
Kifaa hicho, matenki mawili ya kuhifadhia maji na vitakasa mikono ni miongoni mwa...
10 years ago
MichuziTUME ya haki za binadamu yatoa taarifa ya uchunguzi wa tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi za kuwapiga na kuwazalilisha Viongozi na Wafuasi wa CUF