DC IKUNGI AYAPONGEZA MASHIRIKA MAWILI VITA DHIDI YA CORONA MKOANI SINGIDA
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo (kulia) akizungumza na timu ya vijana kutoka Mashirika yasiyo ya Kiserikali la Empower Youth Prosperity ( EYP) la mkoani Mbeya na Shirika la Sustanable Environment Management Action (SEMA) la Singida ambao walikuwa wilayani humo jana kutoa elimu ya kujikinga na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona. Katikati ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Winfrida Funto. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Justice Kijazi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi22 May
5 years ago
MichuziDC IKUNGI MKOANI SINGIDA AZINDUA MNADA MKUBWA WA MIFUGO NA MAZAO
Nyama ikichomwa. Sola zikiuzwa.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo akihutubia wananchi wakati akizindua Mnada wa Mifugo na Mazao katika Kijiji cha Ighuka wilayani humo mkoani Singida juzi. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi ambaye amemalliza muda wake, Ally Mwanga akizungumzia mnada huo na faida zitakazo patikana. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo, akitembelea mabanda.
Mwonekano wa mnada huo. Nyama ya mbuzi ikiuzwa kwenye mnada huo.
Mchoma nyama...
9 years ago
Michuzi5 years ago
CCM Blog10 May
OBAMA AMKOSOA TRUMP VITA DHIDI YA CORONA
11 years ago
Mwananchi29 Jun
SMZ yavunja mashirika mawili
5 years ago
MichuziQwihaya yalikumbuka jeshi la Polisi vita dhidi ya corona
Abichi Masanga, Mkuu wa Jeshi la Polisi Wilayani Mufindi akipokea vifaa vya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kutoka kwa Meneja wa Qwihaya General Enterprises Co Ltd, kampuni inayozalisha nguzo za umeme ya mjini Mafinga. Qwihaya kwa sasa inamiliki viwanda mkoani Iringa na Kugoma
Na Mwandishi wetu, Mafinga
Kampuni inayozalisha nguzo za umeme ya Qwihaya General Enterprise Co Ltd imelikumbuka jeshi la Polisi mjini Mafinga, Wilayani mfindi kwa kutoka vifaa vya kujikinga na maambukizi ya...
5 years ago
MichuziLetshego yasaidia vita dhidi ya ugonjwa wa virusi vya corona
Mbali ya taasisi hiyo, pia taasisi nyingine tisa nazo zilikabidhi msaada wao kwa serikali na kufanya jumla ya Sh Bilioni 3.2 kupatikana kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa huo.
Letshego ilikabidhi msaada huo kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ambaye alipokea kwa niaba ya waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Katika makabidhiano...
5 years ago
BBCSwahili24 May
Virusi vya Corona: China yaionya Marekani dhidi ya kusababisha vita baridi
5 years ago
MichuziKAMANDA MUSLIM AWAKUMBUSHA POLISI KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA COVID 19 MKOANI SINGIDA
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Fortunatus Muslim, akizungumza na madereva wa malori eneo la Mizani Mjini hapa wakati wa ziara yake ya siku moja ya kikazi aliyoifanya jana,Alisema amefika kwa ziara ya siku moja ya kwa ajili ya ukaguzi wa kawaida wa barabarani na kuangalia hali ya utendaji wa askari wa jeshi hilo na mwenendo wa vyombo vya moto. Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi,...