KAMANDA MUSLIM AWAKUMBUSHA POLISI KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA COVID 19 MKOANI SINGIDA
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Fortunatus Muslim, akizungumza na madereva wa malori eneo la Mizani Mjini hapa wakati wa ziara yake ya siku moja ya kikazi aliyoifanya jana,Alisema amefika kwa ziara ya siku moja ya kwa ajili ya ukaguzi wa kawaida wa barabarani na kuangalia hali ya utendaji wa askari wa jeshi hilo na mwenendo wa vyombo vya moto.
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogMKUU WA MKOA TABORA AWATAKA WANANCHI KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA
Kauli hiyo imetolewa na na Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri kwenye mkutano maalumu wa aliouitisha kujadili mikakati ya kupambana na jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa Corona.
Aliwataka wananchi wote mkoani humo kuungana pamoja katika utekelezaji wa mapambano hayo na kuchukua...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Md01cg-wHVc/XsYIG497b7I/AAAAAAALrDk/4FDXxhs1tB4o7nQ8IB8nAscSPxHpkfsOgCLcBGAsYHQ/s72-c/Picha-1-7-768x510.jpg)
MAMBO YA NDANI YAENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA UGONJWA WA COVID-19
![](https://1.bp.blogspot.com/-Md01cg-wHVc/XsYIG497b7I/AAAAAAALrDk/4FDXxhs1tB4o7nQ8IB8nAscSPxHpkfsOgCLcBGAsYHQ/s640/Picha-1-7-768x510.jpg)
Mkurugenzi Msaidizi Rasilimaliwatu, Hilda Tegwa (Wa tatu kulia) akisisitiza matumizi ya kunawa mikono kwa baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ili kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Covid-19. Tukio hilo limefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/Picha-2-10-1024x680.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-c6d81COdft4/Xp2_eGUoSDI/AAAAAAALnl4/ZBA15hO8LtsEWQAmSFTeczGegFaUhKHCACLcBGAsYHQ/s72-c/765112ac-d89c-420a-a5c8-32fda11dfa86.jpg)
Rostam awataka Watanzania kuchukua tahadhari ya maambukizi ya Corona (COVID-19).
Mfanyabiashara Rostam Aziz amewataka Watanzania kuchukua tahadhari ya maambukizi ya virusi vya corona kutokana na ugonjwa huo kuwa tishio nchini na duniani kwa ujumla.
Rostam amesema hayo leo wakati akikabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya kupambana na maambukizi ya virusi vya corona vyenye thamani ya Sh milioni 500 kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Vifaa hivyo ambavyo amevikabidhi leo kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ni pamoja na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xj0oRV6hiPs/Xm-YbiVNZZI/AAAAAAALj7c/cjy7pOJjNmg_vVz7Q1Lbv5CBG5Jn_1HHQCLcBGAsYHQ/s72-c/94c8666d-7856-4233-975b-ad85943350a1.jpg)
DC CHONGOLO AWATAKA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-xj0oRV6hiPs/Xm-YbiVNZZI/AAAAAAALj7c/cjy7pOJjNmg_vVz7Q1Lbv5CBG5Jn_1HHQCLcBGAsYHQ/s640/94c8666d-7856-4233-975b-ad85943350a1.jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akiwa ameambata na Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Bi. Stella Msofe na viongozi wengine wakata na mitaa, wakitoka kukagua bandari kavu ambayo leo hii ameizindua rasmi.
![](https://1.bp.blogspot.com/-1HYbrMxQCCE/Xm-YZ0DjD_I/AAAAAAALj7Q/qeYzhb5AMoUG26we6obbRpqCJ0xvBeUPgCLcBGAsYHQ/s640/310d8972-be45-472c-b7b1-db233b7efcd9.jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akizungumza na wananchi wa Kata ya Mbweni aliofika kusikiliza na kutatua kero zao.
![](https://1.bp.blogspot.com/-Dw8DQVkDfnE/Xm-YbNzozjI/AAAAAAALj7Y/K7KLd600rGUziCIu-NtqRmgib09xK4kMQCLcBGAsYHQ/s640/67183cf8-afcd-4912-b52d-866df4982f6c.jpg)
Wananchi wa Kata ya Mbweni , wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo alipofika kwa ajili ya kusikiliza na kutatua kero...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-34hfN-7DMhA/XnEaAeLLl8I/AAAAAAALkLk/F0jjyumXhxwR2tJuPNSLpUUyKdLFhEL0wCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA-1-5-768x512.jpg)
SIMIYU YAFUNGA KAMBI YA KITAALUMA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-34hfN-7DMhA/XnEaAeLLl8I/AAAAAAALkLk/F0jjyumXhxwR2tJuPNSLpUUyKdLFhEL0wCLcBGAsYHQ/s640/PICHA-1-5-768x512.jpg)
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini akizungumza na wanafunzi wa Kidato cha Sita mkoani humo, kabla ya kufunga kambi ya kitaaluma kwa wanafunzi hao ambayo ilikuwa ikiendelea katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Maswa, kwa lengo la kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/PICHA-2-6-1024x683.jpg)
5 years ago
MichuziBiteko awataka wachimbaji madini kuchukua tahadhari dhidi ya Corona
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OUOhUfH_2ao/XqMLYpo0AdI/AAAAAAALoIY/AEkNAvMKvFQUvLGK0UkFqkGAIIaFyRKqwCLcBGAsYHQ/s72-c/94312930_2741905162575055_8908452115450429440_o.jpg)
11 years ago
Michuzi02 Aug
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-gxvncxV0xH8/Xq_7_lVKt6I/AAAAAAALpCE/9AIIzNYiFRcQ_X74xEQADo4RNingNK9OQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200504-WA0014.jpg)
WAFANYA KAZI WA SALUNI WAASWA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA MAAMBUKIZI YA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-gxvncxV0xH8/Xq_7_lVKt6I/AAAAAAALpCE/9AIIzNYiFRcQ_X74xEQADo4RNingNK9OQCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200504-WA0014.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/IMG-20200504-WA0016.jpg)
Mfanyabiashara katika Soko la Shangwe Kigamboni Jijini Dar es Salaam akiendelea kumhudumia mteja wake huku akiwa amevaa Barakoa ikiwa ni sehemu ya kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/IMG-20200504-WA0017.jpg)
Mkazi wa eneo la Kigamboni Jijini Dar es Salaam akisafisha mikono yake kwa sabuni na maji safi yanayotiririka ikiwa ni sehemu ya...