Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rostam awataka Watanzania kuchukua tahadhari ya maambukizi ya Corona (COVID-19).

Mwandishi Wetu, Zanzibar.
Mfanyabiashara Rostam Aziz amewataka Watanzania kuchukua tahadhari ya maambukizi ya virusi vya corona kutokana na ugonjwa huo kuwa tishio nchini na duniani kwa ujumla.
Rostam amesema hayo leo wakati akikabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya kupambana na maambukizi ya virusi vya corona vyenye thamani ya Sh milioni 500 kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Vifaa hivyo ambavyo amevikabidhi leo kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ni pamoja na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DC CHONGOLO AWATAKA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akiwa ameambata na Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Bi. Stella Msofe na viongozi wengine wakata na mitaa, wakitoka kukagua bandari kavu ambayo leo hii ameizindua rasmi.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akizungumza na wananchi wa Kata ya Mbweni aliofika kusikiliza na kutatua kero zao.
Wananchi wa Kata ya Mbweni , wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo alipofika kwa ajili ya kusikiliza na kutatua kero...

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYA KAZI WA SALUNI WAASWA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA MAAMBUKIZI YA CORONA


Kinyozi katika eneo la Mgeninani Kijichi Jijini Dar es Salaam akiwa amevaa Barakoa kama sehemu ya kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.
Mfanyabiashara katika Soko la Shangwe Kigamboni Jijini Dar es Salaam akiendelea kumhudumia mteja wake huku akiwa amevaa Barakoa ikiwa ni sehemu ya kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona



Mkazi wa eneo la Kigamboni Jijini Dar es Salaam akisafisha mikono yake kwa sabuni na maji safi yanayotiririka ikiwa ni sehemu ya...

 

5 years ago

Michuzi

Biteko awataka wachimbaji madini kuchukua tahadhari dhidi ya Corona

Baadhi ya wachimbaji wadogo wa Almasi katika Kata ya Magazo Wilaya Kishapu mkoani Shinyanga (kulia), wakisalimiana na Waziri wa Madini, Doto Biteko (wa kwanza kushoto) alipotembelea eneo la kuchenjulia mabaki ya mchanga wa almasi (makinikia) kutoka mgodi wa Mwadui/ Williamson Diamonds Ltd. Wachimbaji hao wamechukua tahadhari ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona kwa kuvaa vikinga pua na mdomo (mask).Waziri wa Madini, Doto Biteko (kulia) akisalimiana na baadhi ya viongozi wa mgodi...

 

5 years ago

Michuzi

USHAURI KWA WANAHABARI KUHUSU KUCHUKUA TAHADHARI ZAIDI KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA CORONA


 Siku ya Ijumaa Aprili 10, 2020 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ilitoa taarifa kwa umma juu ya mwenendo wa ugonjwa wa corona nchini. Katika taarifa hiyo Waziri wa afya alieleza idadi ya watu waliothibitishwa kupata maambukizi ya COVID-19 nchini kuwa ni 32. Kati ya hao, wagonjwa 24 wanaendelea na matibabu, watano wamepona na uwepo wa vifo vya wagonjwa watatu tangu ugonjwa huu ulipoingia nchini.
Tunatoa pole kwa ndugu, jamaa na familia za waliopoteza ndugu zao...

 

5 years ago

CCM Blog

MKUU WA MKOA TABORA AWATAKA WANANCHI KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA

SERIKALI ya Mkoa wa Tabora imewataka wananchi kutopuuza maagizo na maelekezo ya Rais Dokta John Pombe Magufuli kuhusu kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa homa ya mafua makali unaosababishwa na kirusi kipya aina ya Corona.

Kauli hiyo imetolewa na na Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri kwenye mkutano maalumu wa aliouitisha kujadili mikakati ya kupambana na jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa Corona.
Aliwataka wananchi wote mkoani humo kuungana pamoja katika utekelezaji wa mapambano hayo na kuchukua...

 

5 years ago

BBCSwahili

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AWATAKA WATANZANIA WASITISHWE NA JANGA LA CORONA, WAENDELEE KUCHAPA KAZI HUKU WAKIZINGATIA TU TAHADHARI ZOTE ZA KUJIKINGA NA UGONJWA HUO

Rais Dk. John Magufuli akitoa salam katika Ibada ya Jumapili, iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu la  Kanisa Katoliki la Dodoma. jijini Dodoma, leo.




DODOMA, Tanzania
Rais  Dk. John  Magufuli amewataka Watanzania kutotishwa na janga la ugonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona, badala yake waendelee kufanya kazi kwa bidii na kujenga uchumi huku wakizingatia tahadhari zote za kujikinga kuambukizwa ugonjwa huo kama zilivyotolewa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani