Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIANA CHILOLO AMFUNGUKIA LOWASSA KWA TUNDULISU MJINI IKUNGI MKOANI SINGIDA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Chilolo aula ukamanda UVCCM Singida mjini, ataka mshikamano vijana na MO

DSC00527

Diana Chilolo (katikati) akila kiapo kuwa kamanda wa UVCCM manispaa ya Singida kwenye viwanja ofisi ya CCM mkoa wa Singida mjini Singida. Kulia ni katibu mkuu UVCCM taifa, Sixtus Mapunda ambaye alimwapicha Chilolo na kushoto ni kamanda msaidizi wa UVCCM manispaa ya Singida, Hassan Dumwala.

Na Nathaniel Limu

VIJANA waishio Jimbo la Singida Mjini, wameshauriwa kufanya kazi karibu na Mbunge wao, Mohammed Dewji ili kuharakisha upatikanaji maendeleo ya jimbo hilo, pamoja na ya kwao binafsi.

Wito...

 

5 years ago

Michuzi

DC IKUNGI MKOANI SINGIDA AZINDUA MNADA MKUBWA WA MIFUGO NA MAZAO


 Nyama ikichomwa. Sola zikiuzwa.

 Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo akihutubia wananchi wakati akizindua Mnada wa Mifugo na Mazao katika Kijiji cha Ighuka  wilayani humo mkoani Singida juzi. Aliyekuwa Mwenyekiti wa  Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi ambaye amemalliza muda wake, Ally Mwanga akizungumzia mnada huo na faida zitakazo patikana.  Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo, akitembelea mabanda.

Mwonekano wa mnada huo. Nyama ya mbuzi ikiuzwa kwenye mnada huo.

Mchoma nyama...

 

5 years ago

Michuzi

DC IKUNGI AYAPONGEZA MASHIRIKA MAWILI VITA DHIDI YA CORONA MKOANI SINGIDA



 Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo (kulia) akizungumza  na timu ya vijana kutoka Mashirika yasiyo ya  Kiserikali  la Empower Youth Prosperity  ( EYP) la mkoani Mbeya na Shirika la Sustanable Environment Management Action (SEMA) la Singida ambao walikuwa wilayani humo jana kutoa elimu ya kujikinga na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona. Katikati ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Winfrida Funto.  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Justice Kijazi...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOANI SINGIDA,KESHO KUUNGURUMA SINGIDA MJINI LIVE

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiombewa Dua na mmoja wa kiongozi wa dini mara baada ya kusimamishwa na Wananchi wa kijiji cha Puma (hawapo pichani),alipokuwa akielekea mkoani Singida mara baada ya kumaliza mkutano wake wa hadhara wa kampeni Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru kiongozi huyo wa dini kwa kujitolea kumuombea Dua ya heri na afya njema katika nafasi yake ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea wa urais wa Jamhuri ya ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Magufuli aendelea na kampeni zake mkoani Singida, leo kuunguruma Singida mjini LIVE

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiombewa Dua na mmoja wa kiongozi wa dini mara baada ya kusimamishwa na Wananchi wa kijiji cha Puma (hawapo pichani), alipokuwa akielekea mkoani Singida mara baada ya kumaliza mkutano wake wa hadhara wa kampeni.
PICHA NA MICHUZI JR-SINGIDA.  Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru kiongozi huyo wa dini kwa kujitolea kumuombea Dua ya heri na afya njema katika nafasi yake ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA ADAKWA MKOANI SINGIDA KWA TUHUMA ZA KUSAMBAZA TAARIFA ZA UWONGO

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ASP) Sweetbert Njewike 





















Na Ismail Luhamba, SingidaJESHI la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Arusha mjini  Godbless Lema kwa tuhuma za kusamabaza taarifa za uongo kuwa watu 14 Wilayani Manyoni walifariki kwa kuchinjwa katika matukio mbalimbali.Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ASP) Sweetbert Njewike (pichani kulia) alisema wamemkamata Mbunge...

 

9 years ago

GPL

DK MAGUFULI, CHILOLO WAISAMBARATISHA NGOME YA TUNDU LISSU SINGIDA MASHARIKI‏

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika Jimbo la Manyoni, mkoani Singida, wakati wa mkutano wa kampeni. 
 Wananchi wakishangilia wakati Dk Magufuli akitoa ahadi mbalimbali kwa wananchi kuhusu elimu ya bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne, utaratibu utakaoanza mwakani endapo wananchi wakimpa ridhaa ya kuongoza nchi.…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani