Magufuli aendelea na kampeni zake mkoani Singida, leo kuunguruma Singida mjini LIVE
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiombewa Dua na mmoja wa kiongozi wa dini mara baada ya kusimamishwa na Wananchi wa kijiji cha Puma (hawapo pichani), alipokuwa akielekea mkoani Singida mara baada ya kumaliza mkutano wake wa hadhara wa kampeni.
PICHA NA MICHUZI JR-SINGIDA.
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru kiongozi huyo wa dini kwa kujitolea kumuombea Dua ya heri na afya njema katika nafasi yake ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOANI SINGIDA,KESHO KUUNGURUMA SINGIDA MJINI LIVE
9 years ago
MichuziMAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE,KESHO KUUNGURUMA LIVE UWANJA WA JAMHURI MKOANI DODOMA
9 years ago
MichuziMAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE NDANI YA CHIMALA,MBARALI,MAKAMBAKO NA MAFINGA,KESHO KUUNGURUMA IRINGA MJINI
11 years ago
MichuziKINANA AFANYA ZIARA WILAYA MPYA YA MKALAMA,KUUNGURUMA LEO LIVE STAR TV MKUTANO WA HADHARA MJINI SINGIDA
9 years ago
MichuziMAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE NDANI YA WILAYA KASULU,BUHIGWE NA KIBONDO MKOANI KIGOMA LEO
Wananchi wa Kasulua wakifuatilia mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Umoja Kasulu, Kigoma,ambapo Mgombea Urais wa CCM Dk Magufuli aliwahutubia.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Joseph Magufuli akiwahutubia wananchi wa Kibondo ndani ya uwanja wa Taifa mkoani Kigoma ...
9 years ago
VijimamboMAGUFULI AMALIZANA NA KAMPENI ZAKE KAGERA,KESHO KUUNGURUMA MKOANI GEITA
Sehemu ya umati wa watu ulikuwa umefika kwenye mkutano wa kampeni wa Dkt...
9 years ago
MichuziDkt. MAGUFULI AMALIZA KAMPENI ZAKE KAGERA, KESHO KUUNGURUMA MKOANI GEITA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mpya jukwaani kwa kupiga Push Up kama kumi hivi ili kuwadhihirishia wananchi wa Mjini Karagwe mkoani Kagera kuwa yuko fiti kiafya ili kuwatumikia watanzania mara watakapompa ridhaa ya kuwaongoza Watanzania ifikapo Oktoba 25 mwaka huu katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani .
Huku umati wa Wakazi wa Karagwe...
9 years ago
GPLMAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOANI KIGOMA
9 years ago
VijimamboMAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOANI MBEYA