DK MAGUFULI, CHILOLO WAISAMBARATISHA NGOME YA TUNDU LISSU SINGIDA MASHARIKI
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika Jimbo la Manyoni, mkoani Singida, wakati wa mkutano wa kampeni. Wananchi wakishangilia wakati Dk Magufuli akitoa ahadi mbalimbali kwa wananchi kuhusu elimu ya bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne, utaratibu utakaoanza mwakani endapo wananchi wakimpa ridhaa ya kuongoza nchi.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog23 Oct
Tundu Lissu ahofia ‘bao la mkono’ katika jimbo lake la Singida Mashariki, ataka sheria zifuatwe
Mwanasheria wa CHADEMA na mgombea ubunge jimbo la Singida mashariki, Tundu Lissu akizungumza kwenye moja ya mikutano yake ya kampeni.(Picha na Gasper Andrew).
Na Nathaniel Limu, Singida
WAKATI siku zikiwa zimesalia siku moja tu kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu, mgombea ubunge wa jimbo la Singida mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Antiphas Mughwai Lissu, ameonyesha hofu kubwa kwamba uchaguzi huo hautakuwa huru na wa haki, kwa madai kuwa Jeshi la Polisi limeandaliwa kuhakikisha...
11 years ago
GPL
Tundu Lissu…
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Tundu Lissu awalipua mgambo
MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema anachukizwa na mgambo kuchangisha fedha za michango mbalimbali bila ya kujali kuwa wanazidisha umaskini kwa wananchi. Aidha, alisema kuwa serikali imekuwa...
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Tundu Lissu atikisa Bunge
11 years ago
GPL16 Apr
10 years ago
GPLTUNDU LISSU ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
Vijimambo02 Sep
TUNDU LISSU AJIBU SHUTUMA ZA DR. SLAA
10 years ago
Mwananchi22 Mar
Tundu Lissu apambana dakika 125
11 years ago
Habarileo22 May
Kinana- Wananchi mpuuzeni Tundu Lissu
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea vitendo vya baadhi ya wabunge kuwakataza wananchi kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo katika maeneo yao kwani tabia hiyo inadhoofisha juhudi za Serikali kupambana na umasikini.