Tundu Lissu ahofia ‘bao la mkono’ katika jimbo lake la Singida Mashariki, ataka sheria zifuatwe
Mwanasheria wa CHADEMA na mgombea ubunge jimbo la Singida mashariki, Tundu Lissu akizungumza kwenye moja ya mikutano yake ya kampeni.(Picha na Gasper Andrew).
Na Nathaniel Limu, Singida
WAKATI siku zikiwa zimesalia siku moja tu kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu, mgombea ubunge wa jimbo la Singida mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Antiphas Mughwai Lissu, ameonyesha hofu kubwa kwamba uchaguzi huo hautakuwa huru na wa haki, kwa madai kuwa Jeshi la Polisi limeandaliwa kuhakikisha...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLDK MAGUFULI, CHILOLO WAISAMBARATISHA NGOME YA TUNDU LISSU SINGIDA MASHARIKI
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/iZUkkKTsTto/default.jpg)
5 years ago
CHADEMA Blog![](https://img.youtube.com/vi/r4iiECyoJCY/default.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-rL2YS00G6-4/Xt4s9Wu-4II/AAAAAAALtBw/MRSXChIbtpY2tUwIAYgIYZKR2fnujsMxgCLcBGAsYHQ/s72-c/Lissu%252Bpic.jpg)
TUNDU LISSU ATANGAZA RASMI KUJITOSA KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA 2020
![](https://1.bp.blogspot.com/-rL2YS00G6-4/Xt4s9Wu-4II/AAAAAAALtBw/MRSXChIbtpY2tUwIAYgIYZKR2fnujsMxgCLcBGAsYHQ/s640/Lissu%252Bpic.jpg)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwa sasa yupo nje ya nchi Tundu Lissu ametangaza rasmi kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka 2020.
Lissu ambaye amekuwa nje ya nchi kwa muda mrefu kwa nyakati tofauti amekuwa akionesha nia ya kutaka kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
10 years ago
Dewji Blog19 Jul
Mjumbe wa NEC Singida mjini ahofia hujuma anazotaka kufanyiwa katika uchaguzi
Mgombea ubunge wa jimbo la Singida mjini, Bwana Hassani Philipo Mazala, akimlazimisha katibu wa CCM wilaya ya Singida mjini kupokea shilingi milioni tano zilizopitishwa na kikao cha kamati ya siasa ya wilaya hiyo ikiwa ni mchango wa kukichangia chama wakati wa kampeni za uchaguzi baada ya katibu huyo kuamua kutopokea fedha hizo kwa madai kuwa sharia zimembana kupokea kiasi hicho cha michango.
Bwana Hassani Philipo Mazala akiwa na mkewe wakisubiri kuongea na wanachi waliohudhuria...
10 years ago
Mtanzania29 May
Sugu ataka jimbo lake lisigawanywe
Na Debora Sanja, Dodoma
MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Chadema), ameitaka Serikali kumhakikishia kwamba hawataligawa jimbo lake kwa kuwa kufanya hivyo ni sawa na kugawa moyo wake.
Akiuliza swali la nyongeza bungeni jana, Mbilinyi maarufu kama Sugu
alisema haoni sababu ya kugawa jimbo lake kwa kuwa hata wakati
anagombea alijua kwamba jimbo hilo ni kubwa.
Akijibu swali hilo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,
Uratibu na Bunge, Jenister Mhagama alisema matakwa ya kuligawa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04avcgh6M0qBRLOAFdeYwgA-2plQdfbzp97TY51y056DIJgLF*VtRIBt9jTKhwGZpoMoI8-lSPmxULWSHh-P5RaHd/1509271_692807107449953_8609817621912643102_n.jpg?width=650)
MAONI YA WAJUMBE 'WALIO WACHACHE' KATIKA KAMATI NAMBA NNE ILIYOWASILISHWA NA MHE. TUNDU LISSU!
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
TIMU ya soka ya kata ya Mkiwa jimbo la Singida mashariki mabingwa wa kombe la UVCCM
Mlezi wa jumuiya ya wazazi (CCM) wilaya ya Ikungi, Elibariki Kingu akizumgumza na wapenzi wa soka na wachezaji muda mfupi kabla ya kuanza kwa mechi ya fainali kati ya timu ya soka ya kata ya Irisya na Mkiwa, uliofanyika katika uwanja wa shule ya sekondari ya kata ya Ikungi.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
TIMU ya soka ya kata ya Mkiwa jimbo la Singida mashariki,imetawazwa kuwa mabingwa wa kombe la UVCCM wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida kwa kipindi cha mwaka 2014/2015, baada ya kuichapa timu ya...