Mjumbe wa NEC Singida mjini ahofia hujuma anazotaka kufanyiwa katika uchaguzi
Mgombea ubunge wa jimbo la Singida mjini, Bwana Hassani Philipo Mazala, akimlazimisha katibu wa CCM wilaya ya Singida mjini kupokea shilingi milioni tano zilizopitishwa na kikao cha kamati ya siasa ya wilaya hiyo ikiwa ni mchango wa kukichangia chama wakati wa kampeni za uchaguzi baada ya katibu huyo kuamua kutopokea fedha hizo kwa madai kuwa sharia zimembana kupokea kiasi hicho cha michango.
Bwana Hassani Philipo Mazala akiwa na mkewe wakisubiri kuongea na wanachi waliohudhuria...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo01 Oct
RC Mtwara ahofia hujuma katika gesi
MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia ameeleza wasiwasi wa nchi kuhujumiwa iwapo biashara ya gesi itaachwa mikononi mwa wageni pekee.
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
CHADEMA yaanza kufanyiwa hujuma Kalenga
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Grace Tendega, jana amechukua fomu ya kuwania kiti hicho huku msafara wake ukizuiliwa na polisi mkoani hapa...
9 years ago
Dewji Blog23 Oct
Tundu Lissu ahofia ‘bao la mkono’ katika jimbo lake la Singida Mashariki, ataka sheria zifuatwe
Mwanasheria wa CHADEMA na mgombea ubunge jimbo la Singida mashariki, Tundu Lissu akizungumza kwenye moja ya mikutano yake ya kampeni.(Picha na Gasper Andrew).
Na Nathaniel Limu, Singida
WAKATI siku zikiwa zimesalia siku moja tu kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu, mgombea ubunge wa jimbo la Singida mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Antiphas Mughwai Lissu, ameonyesha hofu kubwa kwamba uchaguzi huo hautakuwa huru na wa haki, kwa madai kuwa Jeshi la Polisi limeandaliwa kuhakikisha...
10 years ago
Dewji Blog27 Jul
Mchakato wa kuomba kura za maoni katika jimbo la Singida mjini likiendelea katika kata mbalimbali kwa wagombea kujinadi
Mmoja wa wagombea ubunge jimbo la Singida Mjini, Hasan Mazala akiomba kura kata ya kajengo jana.
Mazala akiomba kura.
Amani Rai mmoja wa wagombea Jimbo la Singida mjini akimwaga serra zake kata ya majengo.
Mpiga picha na mwandishi wa habari Leah Samike nae amejitosa kuwania Ubunge Singida mjini.
Mmoja wa wananchi wa Majengo, Hamson Mrecha akiuliza swali mgombea.
Yage Kiaratu mmoja wa wagombea nafasi ya Udiwani Kata ya Majengo akiomba kura.
9 years ago
MichuziNEC YATAOA TAMKO KUHUSU UCHAGUZI WA WABUNGE ARUSHA MJINI NA HANDENI.
9 years ago
MichuziNEC yatangaza Majimbo ya Masasi Mjini na Ludewa kufanya uchaguzi tarehe 20 Desemba, 2015
Majimbo ya Masasi Mjini mkoani Mtwara na Ludewa mkoani Njombe yanatarajia kufanya uchaguzi wa wabunge kesho (20.12.2015) ili kuwapata viongozi watakaoongoza majimbo hayo kwa kipindi cha miaka mitano.
Majimbo hayo hayakufanya uchaguzi tarehe 25.10.2015 kutokana na baadhi ya wagombea katika majimbo hayo kufariki dunia.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damiani Lubuva amewasihi wananchi kujitokeza na kupiga kura kwa amani na utulivu. Jaji Lubuva amesema...
9 years ago
Dewji Blog25 Aug
Kaimu Msimamizi wa uchaguzi Singida mjini atupilia mbali pingamizi la CHADEMA dhidi ya mgombea wa CCM
Kaimu msimamizi wa uchaguzi jimbo la Singida mjini, Gerald Muhabuki Zephyrin,akizungumza na Modewjiblog juu ya uchaguzi ubunge jimbo la Singida mjini.(Picha na Gasper Andrew).
Na Nathaniel Limu, Singida
PINGAMIZI lililowekwa na Chama Cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA),jimbo la Singida mjini, dhidi ya mgombea wa CCM Mussa Ramadhan Sima kuwa fomu zake haziko sawa kwa mujibu wa kanuni,taratibu na sheria za uchaguzi,limetupiliwa mbali kwa madai kwamba halina mashiko.
Akizungumza na...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-SiLxcSUmajs/VbvLPa-ZvMI/AAAAAAABj_M/pCFkSj1U7B8/s72-c/RAI.jpeg)
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
Mjasiriamali maarufu Singida, Juma Kidabu, akuchukua fomu kugombea jimbo la Singida mjini
Mjasiriamali maarufu manispaa ya Singida, Juma Ahmed Kidabu, almaarufu kwa jina la Juma Alhaj, akikabidhiwa na Katibu wa CCM jimbo la Singida mjini, Margeth Ndwete, fomu za ubunge katika jimbo hilo.Wana CCM wapatao nane jana wameanza harakati za kusaka kura za maoni.(Picha na Nathaniel Limu).