TIMU ya soka ya kata ya Mkiwa jimbo la Singida mashariki mabingwa wa kombe la UVCCM
Mlezi wa jumuiya ya wazazi (CCM) wilaya ya Ikungi, Elibariki Kingu akizumgumza na wapenzi wa soka na wachezaji muda mfupi kabla ya kuanza kwa mechi ya fainali kati ya timu ya soka ya kata ya Irisya na Mkiwa, uliofanyika katika uwanja wa shule ya sekondari ya kata ya Ikungi.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
TIMU ya soka ya kata ya Mkiwa jimbo la Singida mashariki,imetawazwa kuwa mabingwa wa kombe la UVCCM wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida kwa kipindi cha mwaka 2014/2015, baada ya kuichapa timu ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Mashariki mabingwa soka maalum
11 years ago
Michuzi.jpg)
timu ya african boys ya kitope ndio mabingwa wa kombe la zaweda
11 years ago
Michuzi03 Mar
Timu ya Man City Mabingwa wapya wa Kombe la Capital One 2014

Katika mchezo huo uliokuwa ni mkali na wa kuvutia,Timu ya Sunderland ndio iliyokuwa ya kwanza kuona lango la Manchester City mnamo dakika ya 10 ya mchezo kupitia kwa Mchezaji wake,Fabio Borini katika kipindi cha kwanza.
Kipindi cha pili kilianza kwa kasi na Timu ya Manchester City...
5 years ago
MichuziMabingwa wa Kombe la Standard Chartered, timu ya Dar es Salaam Corridor, kuishuhudia Liverpool 'live'
10 years ago
MichuziTIMU YA MUCOBA FC MABINGWA WA FAINALI YA KOMBE LA MUUNGANO MUFINDI 2015,MRATIBU ATANGAZA KUSTAAFU RASMI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
10 years ago
Michuzi
BLACK FIRE MABINGWA KOMBE LA MBUNGE CHIKAWE JIMBO LA NACHINGWEA, MKOANI LINDI


11 years ago
Michuzi.jpg)
Timu ya watoto wa mtaani kutoka Tanzania iliyoibuka mabingwa wa dunia katika mchezo wa soka yapokewa kishujaa
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
VijimamboTANZANIA STARS UNITED BARA NDIO MABINGWA WA KOMBE LA TAMASHA 2015 LA AFRIKA MASHARIKI YAIFUNGA RWANDA 5-1 NA KUIFUNGA ZANZIBAR 4-0 MECHI YA FAINALI
10 years ago
VijimamboTimu ya Jimbo la Mkunazini Yaingia Nusu Fainali Kombe la Bonaza la Masauni Cup