Timu ya Man City Mabingwa wapya wa Kombe la Capital One 2014
Timu ya Manchester City imeibuka na Ubingwa wa kombe la Capital One baada ya kuifunza mpira timu ya Sunderland kwa kuichabanga magoli 3-1 katika mchezo wa fainali uliochezwa uwanja wa Wembley,Machi 2,2014.
Katika mchezo huo uliokuwa ni mkali na wa kuvutia,Timu ya Sunderland ndio iliyokuwa ya kwanza kuona lango la Manchester City mnamo dakika ya 10 ya mchezo kupitia kwa Mchezaji wake,Fabio Borini katika kipindi cha kwanza.
Kipindi cha pili kilianza kwa kasi na Timu ya Manchester City...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili12 May
10 years ago
BBCSwahili02 Mar
Chelsea mabingwa wapya Capital One
11 years ago
BBCSwahili02 Mar
Manchester City mabingwa Capital One
11 years ago
Michuzi.jpg)
timu ya african boys ya kitope ndio mabingwa wa kombe la zaweda
11 years ago
BBCSwahili30 Oct
Man City hoi Capital One
11 years ago
Dewji Blog17 Sep
TIMU ya soka ya kata ya Mkiwa jimbo la Singida mashariki mabingwa wa kombe la UVCCM
Mlezi wa jumuiya ya wazazi (CCM) wilaya ya Ikungi, Elibariki Kingu akizumgumza na wapenzi wa soka na wachezaji muda mfupi kabla ya kuanza kwa mechi ya fainali kati ya timu ya soka ya kata ya Irisya na Mkiwa, uliofanyika katika uwanja wa shule ya sekondari ya kata ya Ikungi.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
TIMU ya soka ya kata ya Mkiwa jimbo la Singida mashariki,imetawazwa kuwa mabingwa wa kombe la UVCCM wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida kwa kipindi cha mwaka 2014/2015, baada ya kuichapa timu ya...
10 years ago
BBCSwahili27 Apr
Yanga mabingwa wapya 2014/2015 Tanzania
10 years ago
Michuzi.jpg)
Mkwaja FC mabingwa wapya Mwidau CUP 2014