Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkwaja FC mabingwa wapya Mwidau CUP 2014

Na Mwandishi Wetu,Pangani  Timu ya soka ya Mkwaja FC imetwaa ubingwa wa kombe la Mwidau CUP mwaka 2014 baada ya kuifunga timu ya soka ya Kiman’ga kwa mabao 4-2 katika mtanange uliopigwa kwenye Uwanja wa Mwera wilayani Pangani.  Mchezo huo ambao ulikuwa ni wakuvutanikuvute katika kipindi cha kwanza lakini timu ya Kiman’ga ilionyesha kuzidiwa uwezo kwa kuweza kuruhusu mvua ya magoli katika dakika za awali toka mpira kuanza. Mchezaji wa Mkwaja FC Masoud Ticha ndio alionekana kinara katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Yanga mabingwa wapya 2014/2015 Tanzania

Timu ya Yanga imetwaa ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara kwa mwaka 2014/2015 kabla ya kumalizika ligi hiyo

 

11 years ago

Michuzi

Timu ya Man City Mabingwa wapya wa Kombe la Capital One 2014

Timu ya Manchester City imeibuka na Ubingwa wa kombe la Capital One baada ya kuifunza mpira timu ya Sunderland kwa kuichabanga magoli 3-1 katika mchezo wa fainali uliochezwa uwanja wa Wembley,Machi 2,2014.

Katika mchezo huo uliokuwa ni mkali na wa kuvutia,Timu ya Sunderland ndio iliyokuwa ya kwanza kuona lango la Manchester City mnamo dakika ya 10 ya mchezo kupitia kwa Mchezaji wake,Fabio Borini katika kipindi cha kwanza.

Kipindi cha pili kilianza kwa kasi na Timu ya Manchester City...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Zitto atikisa Mwidau CUP Pangani

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), amesema hatua ya Tanzania kutofanya vizuri katika michenoa ya kimataifa ni kukosekana misingi imara wa kuinua vipaji kuanzia ngazi ya chini.
Hayo alisema leo mjini Pangani alipokuwa akizindua mashindano ya Mwidau CUP, ambapo asema hatua ya Tanzania kutoka patupu katika mashindano ya Olimpiki ni kielelezo tosha cha kuhitaji maandalizi ya kina.
“Nchi yetu haijapata bahati ya kufanya vizuri kwenye michezo kwani hivi juzi timu zetu zilikuwa katika...

 

11 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014: HATUA YA ROBO FAINALI KUANZA KUTIMUA VUMBI LEO KATIKA UWANJA WA KAITABA, MABINGWA WATETEZI BILELE FC KUANZA NA KAHORORO FC

Na Faustine Ruta, BukobaTimu nane zilizosonga mbele kwenye hatua ya Robo Fainali KAGASHEKI CUP 2014 leo zinaanza kuonyeshana ubabe kati ya Mabingwa Watetezi Bilele Fc na Kahororo Fc kwenye uwanja wa Kaitaba Bukoba mjini. Kwa ajili ya kuwania nafasi nne za kuingia hatua ya nusu fainali ya Ligi ya KAGASHEKI CUP Inayotarajiwa kuanza  wiki ijayo.  Timu ya Bakoba Fc ilipoteza na kutupwa nje kwenye Mashindano baada ya matokeo ya timu ya Kitendaguro kwenda vibaya katika hatua ya Makundi mtanange wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea mabingwa wapya Capital One

Chelsea wamekuwa mabingwa wapya wa Kombe la Capital One kwa kuinyukaTottenham 2-0 katika uwanja wa Wembley jijini London

 

11 years ago

BBCSwahili

Kenya mabingwa wapya wa Cecafa 2013

Timu ya Kenya, Harambee Stars imetawazwa mabingwa wapya wa kombe la CECAFA 2013/2014

 

11 years ago

Azam FC

Azam FC ndio mabingwa wapya wa Tanzania Bara

Azam FC ndio mabingwa wapya wa Tanzania Bara

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea mabingwa wapya Ligi Kuu England

Timu ya Chelsea imeibuka bingwa mpya wa Ligi Kuu ya England, EPL kw mwaka 2014/2015 huku ikibakiwa na michezo mitatu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani