Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


timu ya african boys ya kitope ndio mabingwa wa kombe la zaweda

Na Othman Khamis Ame, OMPR Timu ya Soka ya African Boys ya Kijiji cha Kitope imetawazwa ubingwa wa mashindao ya Kombe la Zaweda baada ya kuitandika timu ya New Star ya Kiwengwa kwa Magoli 4 -3 katika pambano la fainal ya mashindano hayo yaliyoshirikisha Timu 12 za Soka za Jimbo la Kitope.  African Boys ya Kitope ilibeba kombe hilo la Zaweda baada ya kutoka suluhu ya bila kwa bila na wapinzani wake New Star ya kiwengwa kwenye dakika 90 za mchezo huo na kulazimika kupigiana Penalti...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Timu ya Man City Mabingwa wapya wa Kombe la Capital One 2014

Timu ya Manchester City imeibuka na Ubingwa wa kombe la Capital One baada ya kuifunza mpira timu ya Sunderland kwa kuichabanga magoli 3-1 katika mchezo wa fainali uliochezwa uwanja wa Wembley,Machi 2,2014.

Katika mchezo huo uliokuwa ni mkali na wa kuvutia,Timu ya Sunderland ndio iliyokuwa ya kwanza kuona lango la Manchester City mnamo dakika ya 10 ya mchezo kupitia kwa Mchezaji wake,Fabio Borini katika kipindi cha kwanza.

Kipindi cha pili kilianza kwa kasi na Timu ya Manchester City...

 

10 years ago

Dewji Blog

TIMU ya soka ya kata ya Mkiwa jimbo la Singida mashariki mabingwa wa kombe la UVCCM

DSC00756

Mlezi wa jumuiya ya wazazi (CCM)  wilaya ya Ikungi, Elibariki Kingu akizumgumza na wapenzi wa soka na wachezaji muda mfupi kabla ya kuanza kwa mechi ya fainali kati ya timu ya soka ya kata ya Irisya na Mkiwa, uliofanyika katika uwanja wa shule ya sekondari ya kata ya Ikungi.

Na Nathaniel  Limu, Ikungi

TIMU ya soka ya kata ya Mkiwa jimbo la Singida mashariki,imetawazwa kuwa mabingwa wa kombe la UVCCM wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida kwa kipindi cha mwaka 2014/2015, baada ya kuichapa timu ya...

 

10 years ago

Michuzi

timu ya Mbaspo Academy ndio mabingwa wa michuano ya Airtel Rising Star jijini Mbeya.

 Ofisa elimu wa jiji la Mbeya Protas Mpogole akimkabidhi nahodha wa timu ya Mbaspo Academy Biva Stiven baada ya timu yake kuibuka bingwa wa michuano ya Airtel Rising Star, jana jijini Mbeya. 

Wachezaji wa timu ya Mbaspo Academy wakishangilia baada ya kuwa mabingwa katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars. Michuano hiyo ilimalizika jana jijini Mbeya.

 

5 years ago

Michuzi

Mabingwa wa Kombe la Standard Chartered, timu ya Dar es Salaam Corridor, kuishuhudia Liverpool 'live'

 Mabingwa wa Kombe la Standard Chartered, timu ya Dar es Salaam Corridor wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa bendera ya Taifa jijini Dar es Salaam leo.Mabingwa wa Kombe la Standard Chartered, timu ya Dar es Salaam Corridor wakiwa katika picha ya pamoja viongozi katika michezo.Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia  akizungumza wakati wa kuwaaga Mabingwa wa Kombe la Standard Chartered, timu ya Dar es Salaam Corridor  jijini Dar es Salaam leo, ambao...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA MUCOBA FC MABINGWA WA FAINALI YA KOMBE LA MUUNGANO MUFINDI 2015,MRATIBU ATANGAZA KUSTAAFU RASMI

Mkuu  wa  wilaya ya Mufindi Mboni Mhita katikati  akiwa katika picha ya pamoja na   mabingwa wa mashindano ya  kombe la Muungano Mufindi timu ya Mucoba Fc ,wa kwanza kulia ni mratibu wa mashindano hayo aliyestaafu rasmi Daud Yassin na mdau mkubwa wa  soka mkoa wa Iringa Feisal AsasMkuu wa wilaya ya  Mufindi Mboni Mhita  akikabidhi kombe kwa mabingwa  timu ya MUcoba FC

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Vijimambo

TANZANIA STARS UNITED BARA NDIO MABINGWA WA KOMBE LA TAMASHA 2015 LA AFRIKA MASHARIKI YAIFUNGA RWANDA 5-1 NA KUIFUNGA ZANZIBAR 4-0 MECHI YA FAINALI

Wachezaji wa timu ya Tanzania Stars United Bara  wakifurahia kikombe cha utamaduni walichoshinda leo katika mashindao ya Tamasha 2015 yaliyoshirikisha timu 4, Kenya, Rwanda, Zanzibar na Tanzania Stars United Bara. Maratibu wa mashindano hayo Kaka DC (kushoto akiongea na akiwaweka sawa marefa toka Malawi.Manahodha wa timu ya Tanzania Stars United Bara na Rwanda wakiwa katika picha ya pamoja na marefa katika mechi ya kwanza ambayo Tanzania Stars United Bara waliibamiza Rwanda mabao 5-1Kwa...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA BOYS YANYAKUA KOMBE LA MIAKA 40 YA MSUMBIJI JIJINI MAPUTO

Timu ya vijana Watanzania, Tanzania Boys ilicheza ligi maalum ya kusherehekea miaka 40 ya Uhuru wa Mozambique na kufanikiwa kulichukua kombe hilo baada ya kufikisha pointi 7.Mchezo wa kwanza Tanzania Boys 4 na Laulane Sports 3, mechi ya pili Tanzania Boys 4 Raiva Mfalala 2 na mechi ya mwisho Tanzania Boys 5 na 25 de Setembro 5. Tanzania Boys walimkabidhi kikombe hicho Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mhe. Shamim Nyanduga ofisini kwake. Timu ya vijana Watanzania, Tanzania Boys iliyocheza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Australia ndio mabingwa wa Kriketi

Australia iliishinda nguvu New Zealand na hivyobasi kuibuka mshindi wa kombe la dunia la mchezo wa Kriketi kwa mara ya tano

 

9 years ago

BBCSwahili

Kenya ndio mabingwa wa IAAF

Kenya kwa mara ya kwanza kabisa imeibuka mshindi wa mashindano ya riadha ambayo yamekamilika mjini Beijing nchini China

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani