Mabingwa wa Kombe la Standard Chartered, timu ya Dar es Salaam Corridor, kuishuhudia Liverpool 'live'
Mabingwa wa Kombe la Standard Chartered, timu ya Dar es Salaam Corridor wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa bendera ya Taifa jijini Dar es Salaam leo.
Mabingwa wa Kombe la Standard Chartered, timu ya Dar es Salaam Corridor wakiwa katika picha ya pamoja viongozi katika michezo.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia akizungumza wakati wa kuwaaga Mabingwa wa Kombe la Standard Chartered, timu ya Dar es Salaam Corridor jijini Dar es Salaam leo, ambao...
Michuzi