Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BLACK FIRE MABINGWA KOMBE LA MBUNGE CHIKAWE JIMBO LA NACHINGWEA, MKOANI LINDI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea Mhe. Mathias Chikawe, akizungumza na wanamichezo kabla ya kuanza fainali ya Kombe la Chikawe katika Uwanja wa Sokoine, mjini Nachingwea. Timu ya Black Fire kutoka Kata ya Marambo na Timu ya Motisha kutoka Kata ya Kilimanihewa zilipambana na Timu ya Black Fire iliibuka mshindi kwa magoli 3 kwa 1. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Mhe Pololeti Mgema.

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE AWAPA SOMO MAKATIBU KATA CCM NACHINGWEA, MKOANI LINDI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Makatibu Kata wa CCM, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi leo. Katika mazungumzo hayo yaliyojumuisha Makatibu Kata zaidi ya 30, Waziri Chikawe aliwataka viongozi hao kuhakikisha wanazunguka katika kata zao kuhakikisha wanawahamasisha wananchi wajitokeze kwa wingi kujiandikisha kwa ajili ya maandalizi ya kuipigia kura Katiba inayopendekezwa pamoja na Uchaguzi Mkuu wa Rais,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nachingwea mabingwa soka Umitashumta Lindi

WILAYA ya Nachingwea mkoani hapa, imetawazwa mabingwa wapya wa soka katika michuano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania (Umitashumta), ngazi ya mkoa, baada ya kuwalaza waliokuwa...

 

10 years ago

Michuzi

MICHUANO YA KOMBE LA CHIKAWE YASHIKA KASI NACHINGWEA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kushoto) akimkabidhi Kapteni wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Ubungo Stars ya Kata ya Namapwia, wilayani Nachingwea, Hassan Abbas zawadi ya mpira wa miguu baada ya timu hiyo kuongoza Ligi katika Kata hiyo. Timu nne zilishiriki mashindano hayo ya Kata na kufanikiwa kutengeneza timu moja ambayo itashiriki katika mashindano ya Tarafa ya Ruponda na baadaye kufika ngazi ya wilaya ambapo mshindi wa...

 

11 years ago

GPL

FLAVIANA MATATA, PSPF WATOA MABEGI KWA WANAFUNZI 650 WA SHULE KATIKA HALMASHAURI ZA LINDI NA NACHINGWEA MKOANI LINDI

Meneja Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Costantina Martin pamoja na Mwanamitindo Flaviana Matata wakitoa mabegi kwa mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Mnengulo mkoani Lindi. Jumla ya wanafunzi 650 wa shule zilizopo katika  Halmashauri za Lindi na Nachingwea  mkoa wa Lindi wamenufaika na msaada huo wa mabegi hayo yenye vifaa mbalimbali vya shule, msaada huo umetolewa kwa pamoja kati ya PSPF na...

 

10 years ago

GPL

MAMA SALMA KIKWETE AFANYA MIKUTANO YA KAMPENI KATA ZA NACHINGWEA NA MINGOYO MKOANI LINDI

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi anayewakilisha Wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akisalimiana na viongozi wa CCM Kata ya Nachingwea iliyoko mjini Lindi wakati alipotembelea tawini hapo kwa ajili ya kikao na viongozi wa kata hiyo juu ya ushiriki wa Chama cha Mapinduzi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, vjiji na vitongoji unaotarajiwa kufanyika tarehe 14.12.2014. Viongozi wa CCM Kata ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AFANYA MIKUTANO YA KAMPENI KATA ZA NACHINGWEA NA MINGOYO MKOANI LINDI

 Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete  akijumuika na viongozi mbalimbali wa Mkoa na wilaya ya Lindi mjini pamoja na wananchi wa Kata ya Mingoyo kucheza wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Mnazi Mmoja tarehe 6.12.2014. Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete  akiwahutubia viongozi wa Kata ya Mingoyo pamoja na wananchi wa Mnazi Mmoja wakati wa mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa serikali za mitaa...

 

10 years ago

Dewji Blog

TIMU ya soka ya kata ya Mkiwa jimbo la Singida mashariki mabingwa wa kombe la UVCCM

DSC00756

Mlezi wa jumuiya ya wazazi (CCM)  wilaya ya Ikungi, Elibariki Kingu akizumgumza na wapenzi wa soka na wachezaji muda mfupi kabla ya kuanza kwa mechi ya fainali kati ya timu ya soka ya kata ya Irisya na Mkiwa, uliofanyika katika uwanja wa shule ya sekondari ya kata ya Ikungi.

Na Nathaniel  Limu, Ikungi

TIMU ya soka ya kata ya Mkiwa jimbo la Singida mashariki,imetawazwa kuwa mabingwa wa kombe la UVCCM wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida kwa kipindi cha mwaka 2014/2015, baada ya kuichapa timu ya...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA NACHINGWEA ATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA MKOANI LINDI

Afisa Mshiriki wa Maonesho ya Wakulima na Wafugaji katika Banda la Jeshi la Magereza, Mrakibu Msaidizi wa Magereza, Yunge Saganda(kushoto) akitoa maelezo ya kitalaam kwa Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Mhe. Regina Chonjo(kulia) namna viatu vya Ngozi vinavyotengenezwa na Jeshi hilo katika Kiwanda chake cha Gereza Karanga, Moshi Mkoani Kilimanjaro. Jeshi la Magereza ni Miongoni mwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinavyoshiriki kikamilifu katika Maonesho hayo ya Kitaifa Mkoani Lindi. Mkuu wa Wilaya...

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO NACHINGWEA MKOANI LINDI

NY Ebra akipiga soga na Bibi wa Binti yake alipoenda kumtembelea huko Nachingwea Mkoani Lindi.Fauzia binti wa NY Ebra akiwa na mama yake mzazi huko Nachingwea, Lindi.
Fauzia binti wa NY Ebra akipiga mastori na mama yake mzazi alipoenda kumtembelea huko Nachingwea mkoani Lindi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani