Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Timu ya watoto wa mtaani kutoka Tanzania iliyoibuka mabingwa wa dunia katika mchezo wa soka yapokewa kishujaa

Afisa Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Frank Shija akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wachezaji wa timu ya watoto wa mitaani    Mwenyekiti wa Timu ya watoto wa mitaani ya jijini Mwanza Alfat Mansoor (Dogo) akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya timu hiyo kuwasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana jijini Dar es Salaam.  Mchezaji aliyesabibisha timu ya watoto wa mitaani kutoka Tanzania kuibuka mabingwa wa Dunia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo wa Karate yaanza mazoezi kujiandaa na mashindano ya dunia Japan

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo wa Karate imeanza Tena mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya kushiriki mashindano ya Dunia ya Karate huko Japani Mwaka ujao.    
Mashindano hayo ya Karate ya Dunia yalikuwa yafanyike mwezi octoba mwaka huu ,lakini yakaahilishwa kutokana na Tahadhari ya Virusi vya Corona. Michuano hiyo huwa inafanyika kila baada ya Miaka 3,na wakati huu Tanzania pia imepata nafasi ya Kipekee kwa kutoa Jaji wa michuano hiyo ambaye ni (Sensei)Jerome Mhagama..  Tumezungumza Jerome...

 

11 years ago

GPL

TIMU YA WATOTO WA MITAANI YA TANZANIA YATWAA KOMBE LA DUNIA BRAZIL

Timu ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania ambayo imetwaa Kombe la Dunia. Watoto hao ambao ni mabingwa wakishangilia na kiongozi wao, Mutani Yangwe .…

 

10 years ago

Dewji Blog

TIMU ya soka ya kata ya Mkiwa jimbo la Singida mashariki mabingwa wa kombe la UVCCM

DSC00756

Mlezi wa jumuiya ya wazazi (CCM)  wilaya ya Ikungi, Elibariki Kingu akizumgumza na wapenzi wa soka na wachezaji muda mfupi kabla ya kuanza kwa mechi ya fainali kati ya timu ya soka ya kata ya Irisya na Mkiwa, uliofanyika katika uwanja wa shule ya sekondari ya kata ya Ikungi.

Na Nathaniel  Limu, Ikungi

TIMU ya soka ya kata ya Mkiwa jimbo la Singida mashariki,imetawazwa kuwa mabingwa wa kombe la UVCCM wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida kwa kipindi cha mwaka 2014/2015, baada ya kuichapa timu ya...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,PINDA AWAANDALIA CHAKULA CHA MCHANA TIMU YA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU,WALIOTWAA KOMBE LA DUNIA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea kutoka kwa nahodha msadidizi wa timu ya soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, Frank William, kombe ala ubingwa wa dunia wa soka la watoto wa Mitaani wakati alipowaandalia chakula cha mchana kwenye makazi yake mjini Dodoma Aprili 11,2014. Wachezaji wa Timu ya Soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, waliotwaa ubingwa wa Dunia wakipata Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa ajili yao kwenye makazi yake mjini Dodoma...

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball (U18) yashika nafasi ya tatu mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball baada ya ushindi wa nafasi ya tatu (Bronze Medal) katika mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia la Mchezo wa Baseball Umri chini ya Miaka 18. Mashindano hayo yalifanyika nchini Kenya katika mji wa Meru tarehe 15 - 20 Disemba, 2014 na yalikuwa kutafuta tiketi kwa Bara la Afrika ya kushiriki mashindano ya Kombe la Dunia yatakayofanyika hapo mwakani 2015 katika jiji la Tokyo, Japan.

 

9 years ago

MillardAyo

Kutoka Songea Pichaz 6 za maandalizi ya timu za Maji Maji FC na Azam FC kuelekea mchezo dhidi yao

Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu soka Tanaznia bara kati ya Maji Maji FC ya Songea dhidi ya klabu ya Azam FC ya Dar Es Salaam, imenifikia ripoti ya mazoezi mwisho kutokea Songea. Huu unatajwa kuwa mchezo mgumu kiasi kwani wenyeji Maji Maji hawataki kurejea rekodi ya kufungwa idadi kubwa ya magoli. Pichaz sita za maandalizi […]

The post Kutoka Songea Pichaz 6 za maandalizi ya timu za Maji Maji FC na Azam FC kuelekea mchezo dhidi yao appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Simba imeshinda katika mchezo wake wa pili wa mazoezi dhidi ya timu ya Black Sailor kwa mabao 4—0

Kikosi cha Timu ya Black Sailor iliopanda daraja mwaka huu kucheza Ligi Kuu ya Zanzibar kwa Msimu wa mwakac 2015/2016, ilikubali kupigo cha mabao 4-0 dhidi ya timu ya Simba katika mchezo wa kirafiki uliofanyika usiku huu katika uwanja wa amaan Zanzibar.  Kikosi cha Simba kilichotoa kipigo kwa Timu ya Black Sailor uwanja wa Amani usiku huu Simba ikiwa Zanzibar kwa michezo ya kirafiki kuimarisha Kikosi chake kujiandaa na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania. 

       Jopo la Makocha wa timu ya Simba...

 

10 years ago

Michuzi

Simba Imeshinda katika mchezo wake wa Pili wa Mazoezi dhidi ya Timu ya Black Sailor kwa mabao 4--0

Mchezaji wa timu ya Simba akikokota mpira akijiandaa kumpita beki wa timu ya Black Sailor, wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan timu ya Simba imeshinda 4--0Mchezaji wa timu ya Black Sailor akiwapita wachezaji wa timu ya Simba katika mchezo wa kirafiki.                    Mshambuliaji wa timu ya Simba akimpita beki wa timu ya Black Sailor. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani