Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba Imeshinda katika mchezo wake wa Pili wa Mazoezi dhidi ya Timu ya Black Sailor kwa mabao 4--0

Mchezaji wa timu ya Simba akikokota mpira akijiandaa kumpita beki wa timu ya Black Sailor, wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan timu ya Simba imeshinda 4--0Mchezaji wa timu ya Black Sailor akiwapita wachezaji wa timu ya Simba katika mchezo wa kirafiki.                    Mshambuliaji wa timu ya Simba akimpita beki wa timu ya Black Sailor. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Simba imeshinda katika mchezo wake wa pili wa mazoezi dhidi ya timu ya Black Sailor kwa mabao 4—0

Kikosi cha Timu ya Black Sailor iliopanda daraja mwaka huu kucheza Ligi Kuu ya Zanzibar kwa Msimu wa mwakac 2015/2016, ilikubali kupigo cha mabao 4-0 dhidi ya timu ya Simba katika mchezo wa kirafiki uliofanyika usiku huu katika uwanja wa amaan Zanzibar.  Kikosi cha Simba kilichotoa kipigo kwa Timu ya Black Sailor uwanja wa Amani usiku huu Simba ikiwa Zanzibar kwa michezo ya kirafiki kuimarisha Kikosi chake kujiandaa na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania. 

       Jopo la Makocha wa timu ya Simba...

 

5 years ago

Michuzi

TIMU YA VIJANA YA SIMBA YAIBUKA NA USHINDI WA MABAO 2- 0 DHIDI YA TIMU YA YANGA

Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu
TIMU ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 wa Simba wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wapinzani wao Yanga katika mchezo wa utangulizi uliochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mchezo wa timu hizo mbili ambao ulikuwa wa utangulizi kabla ya mechi ya timu ya Simba na Yanga wanaoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Mtangane ulianza saa nane mchana ambapo vijana hao kwa kila timu walionesha umahiri wao wa kusakata kabumbu licha ya umri walionao. Timu ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Timu ya Simba SC, imeshinda bao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu leo Uwanja wa Taifa, Dar.…


Mshambuliaji wa Simba, Danny Sserunkuma.
Mshambuliaji wa Simba, Emanuel Okwi akishangilia katika moja ya mechi ya Ligi Kuu Bara.
Timu ya Simba SC, imeshinda bao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu leo Uwanja wa Taifa, Dar. Sasa ina pointi 16.Mfungaji kwa upande wa Simba ni Danny Sserunkuma kipindi cha kwanza na kipindi cha pili.

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA YANDELEA KUJIFUA ZANZIBAR YAIFUNGA BLACK SAILOR 4-0

Kikosi cha Timu ya Black Sailor iliopanda daraja mwaka huu kucheza Ligi Kuu ya Zanzibar kwa Msimu wa mwakac 2015/2016, ilikubali kupigo cha mabao 4--0 dhidi ya timu ya Simba katika mchezo wa kirafiki uliofanyika usiku huu katika uwanja wa amaan Zanzibar. Kikosi cha Simba kilichotoa kipido kwa Timu ya Black Sailor uwanja wa amaani usiku huu Simba ikiwa Zanzibar kwa michezo ya kirafiki kuimarisha Kikosi chake kujiandaa na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania. Jopo la Makocha wa timu ya Simba...

 

5 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo wa Karate yaanza mazoezi kujiandaa na mashindano ya dunia Japan

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo wa Karate imeanza Tena mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya kushiriki mashindano ya Dunia ya Karate huko Japani Mwaka ujao.    
Mashindano hayo ya Karate ya Dunia yalikuwa yafanyike mwezi octoba mwaka huu ,lakini yakaahilishwa kutokana na Tahadhari ya Virusi vya Corona. Michuano hiyo huwa inafanyika kila baada ya Miaka 3,na wakati huu Tanzania pia imepata nafasi ya Kipekee kwa kutoa Jaji wa michuano hiyo ambaye ni (Sensei)Jerome Mhagama..  Tumezungumza Jerome...

 

10 years ago

Michuzi

STARS YAPOTEZA MCHEZO WAKE WA KWANZA DHIDI YA SWAZIAND, YALALA KWA BAO 1-0

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imepoteza mchezo wake wa kwanza wa michuano ya COSAFA Castel Cup dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland, baada ya kufungwa bao 1- 0 mchezo uliochezwa katika uwanja wa Royal Bafokeng jijini Rustenburg.
Stars ilipoteza nafasi zaidi ya tano kipindi cha kwanza kupitia kwa washambuliaji wake Saimon Msuva na nahodha John Bocco ambao walishindwa kukwamisha mpira wavuni katika kipindi cha kwanza, ambacho Taifa Stars ilicheza vizuri.kikosi cha Taifa Stars.Swaziland...

 

10 years ago

Vijimambo

Bonaza la Michezo la Masaunmi Cup Lavutia Wengi Zenj katika Viwanja vya Mnazi Mmoja. Kati ya Mchezo Kisimajongoo na Kilimani Mashariki Imeshinda 3--0

 Kikosi cha timu ya Kilimani Mashariki kilichotowa dozi kwa timu ya Kisimajongoo cha kipigo cha bao 3--0 wakati wa mchezo wao wa Bonaza la Masauni Cup linaloendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja  Kikosi cha timu ya Kisimajongoo kilichopata kipigo cha mabao 3--0 na timu ya Kilimani MasharikiKocha Abdulhani Msoma akifuatilia michezo ya Bonaza katika uwanja wa mnazi mmoja kushoto Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe. Hamad Masauni na kulia Mchezaji wa Zamani wa timu ya Nyuki. iliokuwa na makazi...

 

9 years ago

MillardAyo

Kutoka Songea Pichaz 6 za maandalizi ya timu za Maji Maji FC na Azam FC kuelekea mchezo dhidi yao

Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu soka Tanaznia bara kati ya Maji Maji FC ya Songea dhidi ya klabu ya Azam FC ya Dar Es Salaam, imenifikia ripoti ya mazoezi mwisho kutokea Songea. Huu unatajwa kuwa mchezo mgumu kiasi kwani wenyeji Maji Maji hawataki kurejea rekodi ya kufungwa idadi kubwa ya magoli. Pichaz sita za maandalizi […]

The post Kutoka Songea Pichaz 6 za maandalizi ya timu za Maji Maji FC na Azam FC kuelekea mchezo dhidi yao appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani