Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBA YANDELEA KUJIFUA ZANZIBAR YAIFUNGA BLACK SAILOR 4-0

Kikosi cha Timu ya Black Sailor iliopanda daraja mwaka huu kucheza Ligi Kuu ya Zanzibar kwa Msimu wa mwakac 2015/2016, ilikubali kupigo cha mabao 4--0 dhidi ya timu ya Simba katika mchezo wa kirafiki uliofanyika usiku huu katika uwanja wa amaan Zanzibar. Kikosi cha Simba kilichotoa kipido kwa Timu ya Black Sailor uwanja wa amaani usiku huu Simba ikiwa Zanzibar kwa michezo ya kirafiki kuimarisha Kikosi chake kujiandaa na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania. Jopo la Makocha wa timu ya Simba...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Simba imeshinda katika mchezo wake wa pili wa mazoezi dhidi ya timu ya Black Sailor kwa mabao 4—0

Kikosi cha Timu ya Black Sailor iliopanda daraja mwaka huu kucheza Ligi Kuu ya Zanzibar kwa Msimu wa mwakac 2015/2016, ilikubali kupigo cha mabao 4-0 dhidi ya timu ya Simba katika mchezo wa kirafiki uliofanyika usiku huu katika uwanja wa amaan Zanzibar.  Kikosi cha Simba kilichotoa kipigo kwa Timu ya Black Sailor uwanja wa Amani usiku huu Simba ikiwa Zanzibar kwa michezo ya kirafiki kuimarisha Kikosi chake kujiandaa na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania. 

       Jopo la Makocha wa timu ya Simba...

 

10 years ago

Michuzi

Simba Imeshinda katika mchezo wake wa Pili wa Mazoezi dhidi ya Timu ya Black Sailor kwa mabao 4--0

Mchezaji wa timu ya Simba akikokota mpira akijiandaa kumpita beki wa timu ya Black Sailor, wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan timu ya Simba imeshinda 4--0Mchezaji wa timu ya Black Sailor akiwapita wachezaji wa timu ya Simba katika mchezo wa kirafiki.                    Mshambuliaji wa timu ya Simba akimpita beki wa timu ya Black Sailor. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Simba yaifunga Azam FC 2-1

 Mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano 'Messi" akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuipatia timu yake bao la pili.
Beki wa Azam FC, Agrey Moris akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.  Raha ya ushindi. 
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

9 years ago

Mwananchi

Mkude kujifua kinoma Simba

Kiungo mkabaji wa Simba, Jonas Mkude amedhamiria kufanya mazoezi mara mbili zaidi ili kupigania namba kikosi cha kwanza msimu huu.

 

10 years ago

Michuzi

URA YAIZIMA SIMBA, YAIFUNGA 1-0

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Amri Kiemba (katikati),  akiwatoka  mabeki wa timu ya URA ya Uganda  katika mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. URA imeshinda 1-0. (Picha na Francis Dande)

 

9 years ago

Michuzi

SIMBA YAIFUNGA COASTAL UNIO 1-0

 Said Ndemla akiwatoka wachezaji wa Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo ambapo katika mchezoa huo Simba iliibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Hamis Kiiza. (Picha na Francis Dande) Peter Mwalyanzi wa Simba akienda chini.  Wachezaji wa Simba wakishangilia bao pekee lililofungwa na mshambuliaji wa timu hiyo, Hamis Kiiza (katikati) dhidi ya Coastal Union ya Tanga wakati wa mchezo wa Ligi Kuu...

 

11 years ago

GPL

SIMBA YAENDELEA KUJIFUA UWANJA WA KINESI, DAR

Simba wakijifua. Chillo akiumiliki mpira. Kutoka kulia ni Edo, Baba Ubaya, Henry Joseph na Haruna Shamte.…

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA YAIPIGISHA KWATA TANZANIA PRISONS, YAIFUNGA 5-0

 Beki wa Simba, Mohamed Hussein akiwatoka wachezaji wa Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Beki wa Tanzania Prisons akichuana na mshambuliaji wa Simba.Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Tanzania Prisons 5-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mohamed Hussein wa Simba akiwania mpira na beki wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Timu ya mpira wa pete kujifua Zanzibar

Timu ya mpira wa pete ya Tanzania itaweka kambi Zanzibar ili kujiandaa na michuano ya Afrika nchini Namibia tarehe 28 mwezi ujao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani