Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


URA YAIZIMA SIMBA, YAIFUNGA 1-0

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Amri Kiemba (katikati),  akiwatoka  mabeki wa timu ya URA ya Uganda  katika mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. URA imeshinda 1-0. (Picha na Francis Dande)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Simba rasmi wateja wa URA

Kikosi cha timu ya Simba. Na Martha Mboma
WIKI moja kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara, Kocha wa Simba, Patrick Phiri, amepata changamoto ya kwanza baada ya kukutana na kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa URA ya Uganda katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, jana. Simba ambayo imekuwa ‘bize’ kuunda kikosi chao baada ya kutokuwa na mwelekeo mzuri kwa misimu miwili iliyopita, ilishindwa...

 

10 years ago

TheCitizen

Simba take on URA in friendly duel

>Simba SC square off against Uganda Revenue Authority (URA) in a friendly match scheduled for the National Stadium this evening.

 

10 years ago

Mwananchi

Simba kujipima kwa URA leo

Simba na URA zinashuka uwanjani leo katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

URA yaichapa Simba kwa mbwembwe

Simba imekubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa URA katika mchezo wa kirafiki uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

Simba yaifunga Azam FC 2-1

 Mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano 'Messi" akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuipatia timu yake bao la pili.
Beki wa Azam FC, Agrey Moris akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.  Raha ya ushindi. 
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba, KCC vitani leo .Azam yaua 2-0, Chuoni vs URA sare

c WEKUNDU wa Msimbazi, Simba baada ya juzi kuanza vema michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kuifunga AFC Leopards ya Kenya kwa bao 1-0, leo inajitupa tena dimba la Amaan...

 

9 years ago

Michuzi

SIMBA YAIFUNGA COASTAL UNIO 1-0

 Said Ndemla akiwatoka wachezaji wa Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo ambapo katika mchezoa huo Simba iliibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Hamis Kiiza. (Picha na Francis Dande) Peter Mwalyanzi wa Simba akienda chini.  Wachezaji wa Simba wakishangilia bao pekee lililofungwa na mshambuliaji wa timu hiyo, Hamis Kiiza (katikati) dhidi ya Coastal Union ya Tanga wakati wa mchezo wa Ligi Kuu...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya kutoa sare mechi ya kwanza, hivi ndivyo Simba ilivyowaadhibu URA ya Uganda (+Pichaz)

Bado hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar inazidi kushika kasi kila kukicha, baada ya mchana wa January 6 kupigwa mchezo wa tatu wa Kundi A lenye timu za URA, JKU, Jamuhuri na Simba, usiku wa January 6 ukapigwa mchezo wa nne wa kundi hilo kwa kuzikutanisha timu za URA ya Uganda […]

The post Baada ya kutoa sare mechi ya kwanza, hivi ndivyo Simba ilivyowaadhibu URA ya Uganda (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA YAIPIGISHA KWATA TANZANIA PRISONS, YAIFUNGA 5-0

 Beki wa Simba, Mohamed Hussein akiwatoka wachezaji wa Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Beki wa Tanzania Prisons akichuana na mshambuliaji wa Simba.Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Tanzania Prisons 5-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mohamed Hussein wa Simba akiwania mpira na beki wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani