Simba rasmi wateja wa URA
![](http://api.ning.com:80/files/CWRwFfvur*BMVwzxHCnvjh*tF07qy61qsrClJ4asMBzhcRyYbTe4y0QRVvJtxhrIQBMGFVgdv84vFjKFUV2u10CtWjEn0tPd/smba.jpg)
Kikosi cha timu ya Simba. Na Martha Mboma WIKI moja kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara, Kocha wa Simba, Patrick Phiri, amepata changamoto ya kwanza baada ya kukutana na kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa URA ya Uganda katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, jana. Simba ambayo imekuwa ‘bize’ kuunda kikosi chao baada ya kutokuwa na mwelekeo mzuri kwa misimu miwili iliyopita, ilishindwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziURA YAIZIMA SIMBA, YAIFUNGA 1-0
10 years ago
TheCitizen12 Sep
Simba take on URA in friendly duel
10 years ago
Mwananchi13 Sep
URA yaichapa Simba kwa mbwembwe
10 years ago
Mwananchi12 Sep
Simba kujipima kwa URA leo
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Simba, KCC vitani leo .Azam yaua 2-0, Chuoni vs URA sare
c WEKUNDU wa Msimbazi, Simba baada ya juzi kuanza vema michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kuifunga AFC Leopards ya Kenya kwa bao 1-0, leo inajitupa tena dimba la Amaan...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Baada ya kutoa sare mechi ya kwanza, hivi ndivyo Simba ilivyowaadhibu URA ya Uganda (+Pichaz)
Bado hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar inazidi kushika kasi kila kukicha, baada ya mchana wa January 6 kupigwa mchezo wa tatu wa Kundi A lenye timu za URA, JKU, Jamuhuri na Simba, usiku wa January 6 ukapigwa mchezo wa nne wa kundi hilo kwa kuzikutanisha timu za URA ya Uganda […]
The post Baada ya kutoa sare mechi ya kwanza, hivi ndivyo Simba ilivyowaadhibu URA ya Uganda (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Matokeo ya mchezo wa kwanza wa Kundi A kati ya URA dhidi ya JKU, kabla ya Simba kushuka dimbani (+Pichaz)
Jumatatu ya January 4 ni siku ambayo Kombe la Mapinduzi liliendelea tena kwa mchezo wa kwanza wa Kundi A kuchezwa katika uwanja wa Amani Zanzibar. Huu ulikuwa ni mchezo wa tatu wa mashindano na wa kwanza kwa Kundi A ambalo lina timu za Simba, Jamuhuri, JKU na URA ya Uganda. Hivyo timu ya URA dhidi […]
The post Matokeo ya mchezo wa kwanza wa Kundi A kati ya URA dhidi ya JKU, kabla ya Simba kushuka dimbani (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo07 Jan
Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 …
Mtu wangu wa nguvu bado ninazo headlines za michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016, naomba nikusogezee video ya goli la Simba dhidi ya URA ya Uganda. Goli ambalo lilifungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 37, baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Mwinyi Kazimoto. Mtu wangu wa nguvu hii ni video ya sehemu ya […]
The post Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 … appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba …
Baada ya stori nyingi kuingia katika headlines kwa siku za hivi karibuni kuhusu uamuzi wa moja kati ya mabilionea wa Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, mengi yameandikwa na mengi yameongewa, najua unahitaji kufahamu kuhusu stori za bilionea Mohamed Dewji ambaye maarufu kama MO kuweka bayana dhamira yake ya kutaka kuinunua Simba kupitia kipindi cha […]
The post Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba … appeared first on...