Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Timu ya mpira wa pete kujifua Zanzibar

Timu ya mpira wa pete ya Tanzania itaweka kambi Zanzibar ili kujiandaa na michuano ya Afrika nchini Namibia tarehe 28 mwezi ujao.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Timu ya mpira wa pete Ikulu yawapa kichapo Ukaguzi

01

Wachezaji wa timu ya mpira wa pete ya Ikulu wakiwa wamejipanga tayari kuanza mechi yao dhidi ya timu ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali uliochezwa leo uwanja wa Jamhuri Morogoro.

Na Eleuteri Mangi –MAELEZO

Timu ya mpira wa pete ya Ikulu imeendeleza kichapo kwa timu pinzani inyokutana nazo katika mashindano ya SHIMIWI yanayoendelea mjini Morogoro.

Ikiwa imekamilika katika idara zote, timu ya Ikulu imetakata vilivyo kwa kuwafunga Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali...

 

10 years ago

BBCSwahili

Michuano ya mpira wa pete ni Namibia.

Michuano ya Afrika ya mpira wa pete (netball) inategemewa kufanyika nchini Namibia na Tanzania inajiandaa kushiriki.

 

10 years ago

StarTV

Michuano ya mpira wa pete kufanyika Namibia.

Michuano ya Afrika ya mpira wa pete (netball) inategemewa kufanyika nchini Namibia na Tanzania imesema inajipanga kwa ajili ya kushiriki.

Kwa mujibu wa viongozi wa chama cha netball nchini Tanzania (Chaneta), timu ya taifa itachaguliwa muda wowote kwa ajili ya kuanza maandalizi. Michuano hiyo itafanyika mwezi June.

Ushiriki wa Tanzania na timu nyingine utasaidia kupanda viwango vya dunia.

Katika viwango vilivyotolewa na shirikisho la dunia (IFNA) mwezi April mwaka huu, Tanzania ipo nafasi ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Michuano ya dunia Mpira wa pete kuanza

Michuano ya kumi na nne ya kombe la dunia la mchezo wa pete itaanza kutimua vumbi leo katika jiji la Sydney nchini Australia

 

11 years ago

Michuzi

UTUMISHI YANYAKUA KOMBE KUPITIA MPIRA WA PETE MASHINDANO YA MEI MOSI 2014

Na. James Katubuka
Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma imetawazwa rasmi kuwa bingwa wa mpira wa Pete wa Mashindano ya Mei Mosi 2014.
Utumishi imefanikiwa kuwa bingwa baada ya kuisambaratisha timu ya Wizara ya Uchukuzi kwa ushindi wa magoli 33 dhidi ya 21. Mchezo huo wa fainali ulifanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Katika mchezo huo mchezaji Fatuma Machenga (GS) wa Ofisi ya Rais Utumishi ndiye aliyekua tishio kwa kuongoza wachezaji wa timu yake kufanikisha ushindi...

 

10 years ago

Vijimambo

TIMU YA TANZANIA "TAIFA STARS" YAENDELEA KUJIFUA

 Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' wakiwa katika mazoezi katika uwanja wa Olympia Park kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland.Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeendelea na mazoezi katika uwanja wa Olympia Park kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland.
Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars Mart Nooij amesema vijana wake wanaendelea vizuri na mazoezi, ikiwa leo ni siku ya pili kufanya mazoezi baada ya ...

 

9 years ago

Michuzi

IDARA YA UHAMIAJI YAWA BINGWA MICHUANO YA MPIRA WA PETE KLABU BINGWA TANZANIA

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiTIMU ya Mpira wa Pete ya Idara ya Uhamiaji,imeibuka mshindi katika michuano ya mashindano ya Klabu bingwa wa mpira wa pete baada ya kuipiga timu ya Mbweni JKT iliyokuwa ikishikilia ubingwa huo. Akizungumza baada ya kupokea kombe hilo ,Kamishina wa Utawala na Fedha wa Idra ya Uhamiaji,Piniel Mgonja  amewataka wachezaji wa timu hiyo kujituma na kuweza kulinda kombe hilo ililisichukuliwe katika michuano mingine. Mgonja amesema katika mwaka huu wamekuwa...

 

10 years ago

GPL

KHA! UNAMZALISHA KAMA UNATAKA KUTENGENEZA TIMU YA MPIRA?

Haya tena mamie mwari ndo naingia tena,  najua umenisubiri sana baada ya wiki jana kukupeni mambo ya kuandaa mahanjumati. Nataka kukwambia mwari wangu hakuna kitu muhimu ndani ya nyumba kama kuandaa chakula cha mumeo kwa utulivu ili aamini cha nyumbani kitamu, siyo kumlipulia na kuona chakula kwa mama lishe ndicho kitamu. Jamani mwari wangu tuone aibu unapoamua kumpikia mumeo, tuliza akili yote kwenye chungu kuhakikisha nyanya...

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA DAR, YAENDELEA KUJIFUA UWANJA WA KARUME KUJIANDAA KUWASAMBARATISHA WENZAO WA ARUSHA MWEZI UJAO.

 Kamanda Mpinga, akishiriki dua ya pamoja na wachezaji wa timu ya Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini, baada ya mazoezi yao timu hiyo yanayoendelea kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kirafiki na timu ya Kamati ya Amani ya Mkoa wa Arusha unaotarajia kuchezwa mwezi ujao jijini Arusha na ule wa kirafiki kati yao na timu ya Mabalozi hivi karibuni. Kamanda Mpinga alifika kuwatembelea wachezaji hao kujionea maendeleo ya mazoezi yao.   Kamanda Mpiga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani