UTUMISHI YANYAKUA KOMBE KUPITIA MPIRA WA PETE MASHINDANO YA MEI MOSI 2014
Na. James Katubuka
Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma imetawazwa rasmi kuwa bingwa wa mpira wa Pete wa Mashindano ya Mei Mosi 2014.
Utumishi imefanikiwa kuwa bingwa baada ya kuisambaratisha timu ya Wizara ya Uchukuzi kwa ushindi wa magoli 33 dhidi ya 21. Mchezo huo wa fainali ulifanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Katika mchezo huo mchezaji Fatuma Machenga (GS) wa Ofisi ya Rais Utumishi ndiye aliyekua tishio kwa kuongoza wachezaji wa timu yake kufanikisha ushindi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
UTUMISHI YAANZA MASHINDANO YA MEI MOSI KWA KISHINDO
11 years ago
MichuziUTUMISHI YAENDELEZA KUTOA DOZI MASHINDANO YA MEI MOSI
Timu ya Mpira wa Pete ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imeendelea kutoa dozi katika michuano ya Mei Mosi 2014 baada ya kuichachafya CDA Dodoma kwa magoli 42 – 15 katika mchezo uliochezwa jana Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Mchezo huo ulikuwa wa aina yake na ushindani wa sababu CDA inaundwa na wachezaji wazoefu katika mashindano ilhali Ofisi ya Rais Utumishi iliundwa na kikosa cha wachezaji ambao wamewahi kucheza katika ya Taifa ya mpira wa Pete...
10 years ago
MichuziOfisi ya Rais-Utumishi iliposhiriki Maadhimisho Mei mosi 2015 jijini Dar
11 years ago
Michuzi.jpg)
WAZIRI MKUU SPORTS CLUB YAANZA KWA KISHINDO MASHINDANO YA MEI MOSI, MOROGORO
.jpg)
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzi23 Apr
MASHINDANO YA 16 YA MPIRA WA KIKAPU (BASKETBALL) KWA MAJIJI YA AFRIKA KANDA YA TANO KUFANYIKA DAR ES SALAAM MEI
11 years ago
GPL
11 years ago
Michuzi
HOTUBA YA RAIS KIKWETE KWENYE KILELE CHA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI, MEI MOSI 2014, DAR

10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Michuano ya mpira wa pete ni Namibia.
10 years ago
StarTV15 Apr
Michuano ya mpira wa pete kufanyika Namibia.
Michuano ya Afrika ya mpira wa pete (netball) inategemewa kufanyika nchini Namibia na Tanzania imesema inajipanga kwa ajili ya kushiriki.
Kwa mujibu wa viongozi wa chama cha netball nchini Tanzania (Chaneta), timu ya taifa itachaguliwa muda wowote kwa ajili ya kuanza maandalizi. Michuano hiyo itafanyika mwezi June.
Ushiriki wa Tanzania na timu nyingine utasaidia kupanda viwango vya dunia.
Katika viwango vilivyotolewa na shirikisho la dunia (IFNA) mwezi April mwaka huu, Tanzania ipo nafasi ya...