UTUMISHI YAANZA MASHINDANO YA MEI MOSI KWA KISHINDO
Timu ya mpira wa Pete ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imeanza mashindano ya Mei Mosi 2014 kwa ushindi mnono kwa kuichapa timu ya Alliance One ya Morogoro magoli 46 kwa 7. Mchezo huo ulifanyika katika Uwanja wa Jamhuri Siku ya Pasaka uliwachukua Utumishi takribani dakika 10 za mchezo kuwasoma wapinzani wao na kuanza kufunga ambapo hadi kipindi cha kwanza kinamalizika Alliance One walishakubali magoli 23 dhidi ya 5. Wachezaji waliofanikisha ushindi huo ni Fatuma Machenga...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU SPORTS CLUB YAANZA KWA KISHINDO MASHINDANO YA MEI MOSI, MOROGORO
11 years ago
MichuziUTUMISHI YAENDELEZA KUTOA DOZI MASHINDANO YA MEI MOSI
Timu ya Mpira wa Pete ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imeendelea kutoa dozi katika michuano ya Mei Mosi 2014 baada ya kuichachafya CDA Dodoma kwa magoli 42 – 15 katika mchezo uliochezwa jana Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Mchezo huo ulikuwa wa aina yake na ushindani wa sababu CDA inaundwa na wachezaji wazoefu katika mashindano ilhali Ofisi ya Rais Utumishi iliundwa na kikosa cha wachezaji ambao wamewahi kucheza katika ya Taifa ya mpira wa Pete...
11 years ago
MichuziUTUMISHI YANYAKUA KOMBE KUPITIA MPIRA WA PETE MASHINDANO YA MEI MOSI 2014
Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma imetawazwa rasmi kuwa bingwa wa mpira wa Pete wa Mashindano ya Mei Mosi 2014.
Utumishi imefanikiwa kuwa bingwa baada ya kuisambaratisha timu ya Wizara ya Uchukuzi kwa ushindi wa magoli 33 dhidi ya 21. Mchezo huo wa fainali ulifanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Katika mchezo huo mchezaji Fatuma Machenga (GS) wa Ofisi ya Rais Utumishi ndiye aliyekua tishio kwa kuongoza wachezaji wa timu yake kufanikisha ushindi...
10 years ago
MichuziOfisi ya Rais-Utumishi iliposhiriki Maadhimisho Mei mosi 2015 jijini Dar
Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakitoa salamu kwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakiimba wimbo wa mshikamano katika maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi...
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Ufaransa yaanza kwa kishindo
10 years ago
BBCSwahili15 Jun
Ghana yaanza kwa kishindo AFCON
10 years ago
GPLPROMOSHENI YA JAYMILLIONS YAANZA KWA KISHINDO
10 years ago
VijimamboZIARA YA BAWACHA YAANZA KWA KISHINDO KWA KUTIKISA MWANZA
10 years ago
MichuziPromosheni ya Jaymillions yaanza kwa kishindo jijini dar