WAZIRI MKUU SPORTS CLUB YAANZA KWA KISHINDO MASHINDANO YA MEI MOSI, MOROGORO
.jpg)
Wanamichezo wa Ofisi ya Waziri Mkuu wanaoshiriki katika Mashindano ya Mei Mosi Mjini Morogoro, wakipita mbele ya mgeni Rasmi, Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mh. Joel Bendera (hayupo pichani) wakati wa Ufunguzi wa mashindano hayo jana. Washiriki wa Mashindano hayo ni Wizara, Idara na Taasisi za Serikali zinazojitegemea.
.jpg)
.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
UTUMISHI YAANZA MASHINDANO YA MEI MOSI KWA KISHINDO
Timu ya mpira wa Pete ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imeanza mashindano ya Mei Mosi 2014 kwa ushindi mnono kwa kuichapa timu ya Alliance One ya Morogoro magoli 46 kwa 7.
Mchezo huo ulifanyika katika Uwanja wa Jamhuri Siku ya Pasaka uliwachukua Utumishi takribani dakika 10 za mchezo kuwasoma wapinzani wao na kuanza kufunga ambapo hadi kipindi cha kwanza kinamalizika Alliance One walishakubali magoli 23 dhidi ya 5.
Wachezaji waliofanikisha ushindi huo ni Fatuma Machenga...
11 years ago
MichuziUTUMISHI YAENDELEZA KUTOA DOZI MASHINDANO YA MEI MOSI
Na. James Katubuka
Timu ya Mpira wa Pete ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imeendelea kutoa dozi katika michuano ya Mei Mosi 2014 baada ya kuichachafya CDA Dodoma kwa magoli 42 – 15 katika mchezo uliochezwa jana Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Mchezo huo ulikuwa wa aina yake na ushindani wa sababu CDA inaundwa na wachezaji wazoefu katika mashindano ilhali Ofisi ya Rais Utumishi iliundwa na kikosa cha wachezaji ambao wamewahi kucheza katika ya Taifa ya mpira wa Pete...

MichuziUTUMISHI YANYAKUA KOMBE KUPITIA MPIRA WA PETE MASHINDANO YA MEI MOSI 2014
Na. James Katubuka
Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma imetawazwa rasmi kuwa bingwa wa mpira wa Pete wa Mashindano ya Mei Mosi 2014.
Utumishi imefanikiwa kuwa bingwa baada ya kuisambaratisha timu ya Wizara ya Uchukuzi kwa ushindi wa magoli 33 dhidi ya 21. Mchezo huo wa fainali ulifanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Katika mchezo huo mchezaji Fatuma Machenga (GS) wa Ofisi ya Rais Utumishi ndiye aliyekua tishio kwa kuongoza wachezaji wa timu yake kufanikisha ushindi...

MichuziAICC YAENDELEA KUWAKILISHA KATIKA MICHEZO YA MEI MOSI MJINI MOROGORO
11 years ago
Michuzi.jpg)
TEMEKE FAMILY & SPORTS CLUB KUANDAA TAMASHA 4 MEI DAR LIVE
.jpg)
11 years ago
Michuzi.jpg)
TUMESHERIA SPORTS CLUB YAAGWA KWENDA KUSHIRIKI SHIMIWI MOROGORO
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA IDD MOSI KUZINDUA CLUB MPYA YA MAISHA BASEMENT ZAMANI NEW MAISHA CLUB
10 years ago
Michuzi
MAGUFULI AITIKISA KATAVI,WAZIRI MKUU PINDA AMNADI KWA KISHINDO.

Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) : http://ow.ly/KNICZ

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania