UTUMISHI YAENDELEZA KUTOA DOZI MASHINDANO YA MEI MOSI
Na. James Katubuka
Timu ya Mpira wa Pete ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imeendelea kutoa dozi katika michuano ya Mei Mosi 2014 baada ya kuichachafya CDA Dodoma kwa magoli 42 – 15 katika mchezo uliochezwa jana Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Mchezo huo ulikuwa wa aina yake na ushindani wa sababu CDA inaundwa na wachezaji wazoefu katika mashindano ilhali Ofisi ya Rais Utumishi iliundwa na kikosa cha wachezaji ambao wamewahi kucheza katika ya Taifa ya mpira wa Pete...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
UTUMISHI YAANZA MASHINDANO YA MEI MOSI KWA KISHINDO
11 years ago
MichuziUTUMISHI YANYAKUA KOMBE KUPITIA MPIRA WA PETE MASHINDANO YA MEI MOSI 2014
Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma imetawazwa rasmi kuwa bingwa wa mpira wa Pete wa Mashindano ya Mei Mosi 2014.
Utumishi imefanikiwa kuwa bingwa baada ya kuisambaratisha timu ya Wizara ya Uchukuzi kwa ushindi wa magoli 33 dhidi ya 21. Mchezo huo wa fainali ulifanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Katika mchezo huo mchezaji Fatuma Machenga (GS) wa Ofisi ya Rais Utumishi ndiye aliyekua tishio kwa kuongoza wachezaji wa timu yake kufanikisha ushindi...
10 years ago
MichuziOfisi ya Rais-Utumishi iliposhiriki Maadhimisho Mei mosi 2015 jijini Dar
11 years ago
Michuzi.jpg)
WAZIRI MKUU SPORTS CLUB YAANZA KWA KISHINDO MASHINDANO YA MEI MOSI, MOROGORO
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Bongo Movies18 Apr
Filamu Mpya: Kajala Kutoa PISHU siku ya Mei Mosi
Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘Kay’ anatalajia kuingiza sokoni filamu yake mpya inayoitwa PISHU siku ya Mei Mosi mwaka huu.
"Movie yangu mpya PISHU inaingia rasmi sokoni/mtaani MEI MOSI (1/5/2015). Ndani kuna Hemmedy PHD, Senga, Tausi Mdegela, Asha Boko na Mzee Onyango, itasambazwa na KAJALA ENTERTAINMENT & BABY BLACK PRODUCTIONS...Filamu hii ina mafunzo pamoja na kuchekesha, ni filamu itakayokuwa tofauti na nyingine kwa kuwa imeandaliwa katika ubora wa hali ya juu,’’...
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Yanga yaendeleza 'siasa' mashindano ya Kombe la Kagame
11 years ago
Mwananchi25 Aug
Yanga yaendelea kutoa ‘dozi’ Z’bar
10 years ago
Habarileo03 May
Bomu lajeruhi 5 mei mosi
WATU watano akiwemo dereva wa gari linalotumiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kilombero, David Ligazio ,Novatus Ngope (47), wamejeruhiwa vibaya na shambulio la kitu kinachodhaniwa ni bomu la kutupwa na mkono kutoka kwa watu wawili wasiofahamika walipokuwa kwenye sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani juzi.