Filamu Mpya: Kajala Kutoa PISHU siku ya Mei Mosi
Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘Kay’ anatalajia kuingiza sokoni filamu yake mpya inayoitwa PISHU siku ya Mei Mosi mwaka huu.
"Movie yangu mpya PISHU inaingia rasmi sokoni/mtaani MEI MOSI (1/5/2015). Ndani kuna Hemmedy PHD, Senga, Tausi Mdegela, Asha Boko na Mzee Onyango, itasambazwa na KAJALA ENTERTAINMENT & BABY BLACK PRODUCTIONS...Filamu hii ina mafunzo pamoja na kuchekesha, ni filamu itakayokuwa tofauti na nyingine kwa kuwa imeandaliwa katika ubora wa hali ya juu,’’...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
11 years ago
MichuziUTUMISHI YAENDELEZA KUTOA DOZI MASHINDANO YA MEI MOSI
Timu ya Mpira wa Pete ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imeendelea kutoa dozi katika michuano ya Mei Mosi 2014 baada ya kuichachafya CDA Dodoma kwa magoli 42 – 15 katika mchezo uliochezwa jana Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Mchezo huo ulikuwa wa aina yake na ushindani wa sababu CDA inaundwa na wachezaji wazoefu katika mashindano ilhali Ofisi ya Rais Utumishi iliundwa na kikosa cha wachezaji ambao wamewahi kucheza katika ya Taifa ya mpira wa Pete...
10 years ago
GPL
HOTUBA YA MWALIMU NYERERE SIKU YA MEI MOSI 1995 MBEYA
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Mtanzania17 Apr
Kajala: Natoka na Pishu
NA SHARIFA MMASI
MWIGIZAJI wa filamu nchini, Kajala Masanja ‘Kajala’ yupo katika hatua za mwisho kutoka na filamu yake mpya aliyoiita ‘Pishu’.
Filamu hiyo inatarajiwa kutoka siku ya wafanyakazi (Mei mosi) mwaka huu, ambapo katika filamu hiyo wasanii mbalimbali, akiwemo Hemedi Suleiman ‘PHD’, Mzee Onyango na wengineo wengi watakuwepo.
“Filamu hiyo ina mafunzo pamoja na kuchekesha, ni filamu itakayokuwa tofauti na nyingine kwa kuwa imeandaliwa katika ubora wa hali ya juu,’’ alisema...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
GPL01 May
10 years ago
Bongo Movies05 Jun
Kajala Aamua Kukomaa Kuiuza 'Pishu'
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja, katika harakati za kupanua zaidi soko la usambazaji filamu hapa Tanzania, amesema kuwa filamu yake inayoitwa 'Pishu' imefanyika na kusambazwa chini ya usimamizi wake mwenyewe imefikia hatua nzuri inayompa moyo.
Kajala ambaye ameonesha mfano kwa wasanii wenzake kuwa inawezekana kuwafikia mashabiki kwa kazi endapo mtu atafanya kazi ya ziada kujisimamia mpaka mwisho, kwa kushirikiana na timu yake amesema kuwa kwa sapoti ya mashabiki anaamini amepiga hatua...
10 years ago
Vijimambo