Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK alivyopiga tizi na kuadhimisha siku ya Mei Mosi 2015 jijini Mwanza

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MEI MOSI ZAFANA JIJINI MWANZA

 Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo yalihitimishwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba.  Wafanyakazi wa Mkemia Mkuu wa Serikali wakiingia uwanjani CCM Kirumba Mwanza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza .  Wafanyakazi wa Idara ya Maliasili wakiingia uwanjani CCM Kirumba katika kuhitimisha siku ya wafanyakazi..

 

10 years ago

Vijimambo

NHC YANG'ARA MAONESHO YA MEI MOSI JIJINI MWANZA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Julius Ntoga kwenye maonyesho yanayoshirikisha taasisi, asasi na vitengo mbalimbali vya umma na watu binafsi mjini Mwanza jana. Maonyesho hayo ya wiki moja ni sehemu ya sherehe za Mei Dei yanayofanyika kesho kitaifa mkoani humo.Mhandisi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Julius Ntoga akiwaelekeza jambo wageni waliofika kwenye banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza Sherehe za Mei Mosi jijini Mwanza leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa pamoja na viongozi wengine wakiimba wimbo wa mshikamano katika Sherehe za siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) iliyofanyika kitaifa katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza leo.
Picha zaidi zitawajia baadae kidogo.

 

10 years ago

Michuzi

WALIMU KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI UWANJA WA CCM KIRUMBA JIJINI MWANZA

Kuona taswira kibao za maandamano ya wafanyakazi hapo Kirumba BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MH JAKAYA KIKWETE MEI MOSI 2015 - MWANZA



Rais Jakaya Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine wa serikali na TUCTA wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa kilele cha sherehe za MEI MOSI uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Ijumaa.
Rais Jakaya Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine wa serikali na TUCTA wakiimba wimbo wa "SOLIDARITY FOREVER" wakati wa kilele cha sherehe za MEI MOSI uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Ijumaa.

Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi mfano wa hundi mfanyakazi bora wa TANESCO Bw. Clement Mwakalosi wakati wa...

 

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Rais-Utumishi iliposhiriki Maadhimisho Mei mosi 2015 jijini Dar

Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakitoa salamu kwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakiimba wimbo wa mshikamano katika maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi...

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Dewji Blog

Sherehe za Mei Mosi Mwanza zafana

 Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo yalihitimishwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba.

 Wafanyakazi wa Mkemia Mkuu wa Serikali wakiingia uwanjani CCM Kirumba Mwanza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza.

unnamed

 Wafanyakazi wa Idara ya Maliasili wakiingia uwanjani CCM Kirumba katika kuhitimisha siku ya wafanyakazi..

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani