WALIMU KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI UWANJA WA CCM KIRUMBA JIJINI MWANZA
Kuona taswira kibao za maandamano ya wafanyakazi hapo Kirumba BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMaandamano katika sherehe za mei mosi uwanja wa uhuru jijini dar es salaam
Wakala wa Ndege za Serikali wakiwa katika maandamano hayo yaliyofana sana
Wizara ya Mambo ya Ndani nao ndani
Benki Kuu
Wakala wa Ndege za Serikali
Ofisi ya Waziri Mkuu.
Kwa picha za kumwaga BOFYA HAPA
11 years ago
GPL03 May
11 years ago
Michuzi02 May
Sherehe za mei mosi uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam
Kwa video hii na nyingine kibao za sherehe za Mei Mosi
BOFYA HAPA
11 years ago
MichuziSHEREHE ZA MEI MOSI ZAFANA JIJINI MWANZA
Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo yalihitimishwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba.
Wafanyakazi wa Mkemia Mkuu wa Serikali wakiingia uwanjani CCM Kirumba Mwanza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza .
Wafanyakazi wa Idara ya Maliasili wakiingia uwanjani CCM Kirumba katika kuhitimisha siku ya wafanyakazi..
11 years ago
GPLTASWIRA ZA SHEREHE YA MEI MOSI UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM
Maandamano ya wafanyakazi yakiingia Uwanja wa Uhuru na kupokelewa na Rais Kikwete  Wafanyakazi wa Daily News na Habari Leo Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili Uwanja wa Uhuru.…
11 years ago
MichuziTASWIRA ZA SHEREHE ZA MEI MOSI UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Mkurugenzi wa NSSF, Dkt. Mohammed Dau (Wapili kulia), na mkurugenzi mkuu wa PPF, William Erio, na mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya udhibiti wa mifuko ya hifadhi ya jamii, (SSRA), Irine Isaka (Kushoto), wakifuatilia maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 5, mfanyakazi bora wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Herman Kachima, wakati wan kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa...
10 years ago
MichuziRais Kikwete aongoza Sherehe za Mei Mosi jijini Mwanza leo
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa pamoja na viongozi wengine wakiimba wimbo wa mshikamano katika Sherehe za siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) iliyofanyika kitaifa katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza leo.
Picha zaidi zitawajia baadae kidogo.
Picha zaidi zitawajia baadae kidogo.
11 years ago
Michuziwafanyakazi wa tanzania standard newspapers watia fora katika maandamano ya mei mosi katika uwanja wa uhuru jijini dar es salaam
Wafanyakazi wa magazeti ya serikali wa Tanzania Standard Newspapers ltd. (TSN) wachapishaji wa Daily News, Habari Leo na Sunday News wakipita kwa bashasha mbele ya mgeni rasmi karika sherehe za Mei Mosi mwaka huu katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam wakiwa na mabango na magazeti yao mkononi.
TSN Oyeeeeeee.....
Mzee mzima Michael Mbiro akiwa na vijana wake
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wakiwapungia wana TSN wakati wanapita mbele yao. Rais ndiye Editor-in-Chief...
11 years ago
MichuziFACEBOOK KUZINDULIWA JIJINI DAR AGOSTI 3,WAKAZI WA MWANZA WAJIANDAE AGOSTI 10 UWANJA WA CCM KIRUMBA
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Karimjee leo wakati alipokua akitangaza Uzinduzi mkubwa wa Albam ya Shikilia Pindo maarufu kwa jina la FACEBOOK ya mwimbaji nguli wa muziki wa injili Rose Muhando,
Msama alisema kuwa albamu hiyo itazinduliwa Agosti 3 mwaka huu katika ukumbi wa Diamond-Jubilee jijini Dar es Salaam na baada ya hapo itatambulishwa katika mikoa kadhaa nchini.
Msama amesema kuwa baada ya albamu...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10