HOTUBA YA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MH JAKAYA KIKWETE MEI MOSI 2015 - MWANZA
![](http://3.bp.blogspot.com/-cd1rbfjLSp4/VUUAv9UQh7I/AAAAAAAA8J8/QHIc0TNm4B8/s72-c/s2.jpg)
Rais Jakaya Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine wa serikali na TUCTA wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa kilele cha sherehe za MEI MOSI uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Ijumaa.Rais Jakaya Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine wa serikali na TUCTA wakiimba wimbo wa "SOLIDARITY FOREVER" wakati wa kilele cha sherehe za MEI MOSI uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Ijumaa.
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi mfano wa hundi mfanyakazi bora wa TANESCO Bw. Clement Mwakalosi wakati wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Lpx0QyGCStM/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-qZ_taV7lQAc/VURfrlc_KXI/AAAAAAAAtDQ/HowY65av2gE/s72-c/shemeji.jpg)
Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA
![](http://2.bp.blogspot.com/-qZ_taV7lQAc/VURfrlc_KXI/AAAAAAAAtDQ/HowY65av2gE/s640/shemeji.jpg)
RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.
Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...
11 years ago
Michuzi01 Aug
9 years ago
VijimamboHOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWENYE SHEREHE YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-bEAUH1cpgfs/U2Nf0FXjzNI/AAAAAAAFe3o/iokAKK-SuQw/s72-c/m11.jpg)
HOTUBA YA RAIS KIKWETE KWENYE KILELE CHA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI, MEI MOSI 2014, DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-bEAUH1cpgfs/U2Nf0FXjzNI/AAAAAAAFe3o/iokAKK-SuQw/s1600/m11.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cfETGQ9HyNA/VUOikwRS8iI/AAAAAAAHUfM/D3M_pjACk94/s72-c/20150501085441.jpg)
Rais Kikwete aongoza Sherehe za Mei Mosi jijini Mwanza leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-cfETGQ9HyNA/VUOikwRS8iI/AAAAAAAHUfM/D3M_pjACk94/s1600/20150501085441.jpg)
Picha zaidi zitawajia baadae kidogo.
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/DpM5MtnykfA/default.jpg)
10 years ago
GPLHOTUBA YA RAIS JAKAYA KIKWETE YA MWISHO WA MWEZI WA FEBRUARI, 2015