Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA


RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.

Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MH JAKAYA KIKWETE MEI MOSI 2015 - MWANZA



Rais Jakaya Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine wa serikali na TUCTA wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa kilele cha sherehe za MEI MOSI uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Ijumaa.
Rais Jakaya Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine wa serikali na TUCTA wakiimba wimbo wa "SOLIDARITY FOREVER" wakati wa kilele cha sherehe za MEI MOSI uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Ijumaa.

Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi mfano wa hundi mfanyakazi bora wa TANESCO Bw. Clement Mwakalosi wakati wa...

 

11 years ago

Michuzi

HOTUBA YA RAIS KIKWETE KWENYE KILELE CHA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI, MEI MOSI 2014, DAR

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI)  Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aongoza maadhimisho ya Mei Mosi jijini Dar

m1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia mkono waandamanaji aliowapokea katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) leo Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

m3

Akiwa mwingi wa furaha, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea waandamanaji katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) leo Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 

m5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kashikana mikono na viongozi wa serikali na wa Shirikisho la Vyama vya...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza Sherehe za Mei Mosi jijini Mwanza leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa pamoja na viongozi wengine wakiimba wimbo wa mshikamano katika Sherehe za siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) iliyofanyika kitaifa katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza leo.
Picha zaidi zitawajia baadae kidogo.

 

11 years ago

Jamtz.Com

HUYU NDO MSANII WA BONGO FLEVA ALIEFARIKI JANA TAR 20.10.2014

Tweet
http://photos-a.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/10727233_709860805766368_1533290281_n.jpgTasnia ya Bongo Flava imepata pigo baada ya msanii wa kundi la Wanaume Family anaefahamika kwa jina la YP kufariki jana usiku baada ya kuugua muda mrefu ugonjwa wa kifua. Meneja wa kundi la Wanaume Family amethibisha kifo cha msanii huyo na kueleza kuwa alikuwa akisumbuliwa na maradhi hayo kwa muda mrefu.
“Tatizo alikuwa anaumwa kifua muda tu, lakini alishaanza kunywa dozi lakini majuzi akazidiwa na tukampeleka hospitali. Jana ndo mwenyezi Mungu kampenda zaidi akamchukua. Wazazi wa...

 

11 years ago

Bongo5

Young Killer: Nisingekuwa msanii basi ningekuwa shehe au mchezaji

Kama asingekuwa rapper, Young Killer Msodoki angekuwa shehe anayeswalisha msikiti au mcheza kabumbu. Young Killer akiwa na mpenzi wake Halima pamoja na rafiki yao Young Killer amesema muziki kwake umekuja tu na sio kitu alichotegemea kufanya. “Kiukweli kabisa mimi nilikuwa najua nakuja kuwa mchezaji na sio msanii,” rapper huyo ameiambia Bongo5. “Nisingekuwa shehe, ningekuwa nchezaji. […]

 

9 years ago

GPL

RAIS MAGUFULI AKABIDHIWA RASMI OFISI IKULU NA RAIS MSTAAFU KIKWETE JANA

Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono kwa furaha na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete aliyefika jana Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais. Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipofika Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Rais Mstaafu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani