Young Killer: Nisingekuwa msanii basi ningekuwa shehe au mchezaji
Kama asingekuwa rapper, Young Killer Msodoki angekuwa shehe anayeswalisha msikiti au mcheza kabumbu. Young Killer akiwa na mpenzi wake Halima pamoja na rafiki yao Young Killer amesema muziki kwake umekuja tu na sio kitu alichotegemea kufanya. “Kiukweli kabisa mimi nilikuwa najua nakuja kuwa mchezaji na sio msanii,” rapper huyo ameiambia Bongo5. “Nisingekuwa shehe, ningekuwa nchezaji. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-qZ_taV7lQAc/VURfrlc_KXI/AAAAAAAAtDQ/HowY65av2gE/s72-c/shemeji.jpg)
Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA
![](http://2.bp.blogspot.com/-qZ_taV7lQAc/VURfrlc_KXI/AAAAAAAAtDQ/HowY65av2gE/s640/shemeji.jpg)
RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.
Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZlBJL*XyKT0cRTBSeQO8OJUWuUXZFzYI1zMbQsVb68iarx5LB825cPMzddWWNd40f5dK00Iri5x8eYPDeq4J2qwf9XXGseEM/LINEX.jpg)
LINEX: NISINGEKUWA MWANAMUZIKI NINGEKUWA ASKARI
10 years ago
Bongo Movies24 Dec
Zamaradi:Hivi Unahisi Kama Nisingekuwa Mtangazaji Ningekuwa Nani!!???
Mtangazaji wa kipindi bora kabisa hapa nchi cha maswala ya filamu, kipindi cha “TAKEONE” kinachorushwa na kituo cha televisheni cha CLOUDSTV, Zamaradi Mtetema, ambae pia ni muandaaji wa filamu, aliwauliza mashabiki wake kupitia mtandaoni kuwa asingekuwa mtangazaji wanahisi angefanya kazi gani, majibu ya baadhi ya watu ndio yamenifanya swali hili nililete tena hapa kwenu.
Mbali na watu kadhaa kusema angekuwa “MODO”,wengi walisema angekuwa mwanasheria, polisi au wakili....labda ni kutokana...
9 years ago
Bongo507 Oct
Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa
11 years ago
Michuzi18 Feb
9 years ago
Bongo502 Nov
Stamina aondoa utata kuhusu Young Killer kuziba nafasi ya Young D kwenye Mtu Chee
![mtu chee2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/mtu-chee2-94x94.jpg)
9 years ago
Bongo513 Oct
Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram
9 years ago
Bongo512 Sep
Music: Young Killer — Mtanzania
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Young Killer arudi shule
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Erick Msodoki ‘Young Killer’, ametimiza ndoto zake za kurudi shule ambapo sasa anasomea teknolojia ya mawasiliano (IT). Nyota huyo chipukizi ambaye amejizolea umaarufu kupitia...