Zamaradi:Hivi Unahisi Kama Nisingekuwa Mtangazaji Ningekuwa Nani!!???
Mtangazaji wa kipindi bora kabisa hapa nchi cha maswala ya filamu, kipindi cha “TAKEONE” kinachorushwa na kituo cha televisheni cha CLOUDSTV, Zamaradi Mtetema, ambae pia ni muandaaji wa filamu, aliwauliza mashabiki wake kupitia mtandaoni kuwa asingekuwa mtangazaji wanahisi angefanya kazi gani, majibu ya baadhi ya watu ndio yamenifanya swali hili nililete tena hapa kwenu.
Mbali na watu kadhaa kusema angekuwa “MODO”,wengi walisema angekuwa mwanasheria, polisi au wakili....labda ni kutokana...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
LINEX: NISINGEKUWA MWANAMUZIKI NINGEKUWA ASKARI
Makala: SHANI RAMADHANI
MWANAMUZIKI mahiri wa muziki w Bongo Fleva nchini, Sande Mangu ‘Linex’ au ‘Voa’ amesema kabila lake linamsababisha kupata ‘tone’ ambayo mtu mwingine hana na kuna baadhi ya wasanii ambao wanatamani wawe wanajua lugha za kwao. Host wa kipindi cha Mtu Kati cha Global TV…
11 years ago
Bongo529 Sep
Young Killer: Nisingekuwa msanii basi ningekuwa shehe au mchezaji
Kama asingekuwa rapper, Young Killer Msodoki angekuwa shehe anayeswalisha msikiti au mcheza kabumbu. Young Killer akiwa na mpenzi wake Halima pamoja na rafiki yao Young Killer amesema muziki kwake umekuja tu na sio kitu alichotegemea kufanya. “Kiukweli kabisa mimi nilikuwa najua nakuja kuwa mchezaji na sio msanii,” rapper huyo ameiambia Bongo5. “Nisingekuwa shehe, ningekuwa nchezaji. […]
10 years ago
Vijimambo
Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA

RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.
Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...
10 years ago
GPL
NINGEKUWA MIMI IGP ERNEST MANGU, NISINGEPUUZIA VITISHO HIVI
Kwako Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu.
Najua una taarifa juu ya kusambaa kwa video inayomuonesha mwanaume mmoja anayedai kuwa ni kiongozi wa kundi la wanaharakati wa kidini, Kais bin Abdullah aliyojirekodi akitoa vitisho vikali kwa jeshi la polisi, waziri mkuu, serikali na waumini wa dini tofauti na yake. Nilishawahi kuzungumza nawe siku za nyuma kwamba mwenendo wa jeshi la polisi, unaonekana kulegalega...
11 years ago
GPL
STEVE: KAMA SI USANII NINGEKUWA MAHAKAMANI
Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Stori: Imelda Mtema
MCHEKESHAJI maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema kama asingekuwa msanii basi angekuwa mfanyakazi wa mahakama. Akistorisha na paparazi wetu juzikati, Steve Nyerere alisema kuwa kila msanii anatakiwa kujiuliza kama siyo kazi ya usanii angekuwa anafanya kazi gani lakini kwa upande wake yeye angekuwa mfanyakazi wa mahakama kwani anaipenda...
11 years ago
GPLKAMA NINGEKUWA STEVE NYERERE NINGE…
Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Nyerere’. KWAKO,
Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Nyerere’. Bila shaka mambo yako yapo safi kabisa. Kuna mambo nataka kukushauri lakini nimeona njia hii ya barua ni nzuri zaidi, maana hutaisoma peke yako. Aisee naitamani sana nafasi yako, maana ningefanya mengi sana, lakini kwa kuanzia ningeanza na haya yafuatayo ambayo naamini...
10 years ago
GPL
NINGEKUWA MIMI HAWA GHASIA, NINGEKUWA WA KWANZA KUJIUZULU
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa- tamisemi), Hawa Abdulrahman Ghasia. Kwako Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa- tamisemi), Hawa Abdulrahman Ghasia. Ni matumaini yangu kwamba bado upo kwenye wakati mgumu kutokana na madudu yaliyotokea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na kusababisha sehemu nyingine uchaguzi uahirishwe kutokana na dosari za...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania