STEVE: KAMA SI USANII NINGEKUWA MAHAKAMANI
![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2I6ALl56YDtHdHhlsGcMl9HFSUiM9lZkkPCFAaZ9Us7FL6V7UEPhGg7CuELPiBw8WPgMsSzRSX-B75*oNTxt7yQ/SteveNyerere.jpg?width=650)
Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Stori: Imelda Mtema MCHEKESHAJI maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema kama asingekuwa msanii basi angekuwa mfanyakazi wa mahakama. Akistorisha na paparazi wetu juzikati, Steve Nyerere alisema kuwa kila msanii anatakiwa kujiuliza kama siyo kazi ya usanii angekuwa anafanya kazi gani lakini kwa upande wake yeye angekuwa mfanyakazi wa mahakama kwani anaipenda...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLKAMA NINGEKUWA STEVE NYERERE NINGE…
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-SgLj6d6oR2s/VHxDEtTqHuI/AAAAAAAAq1k/TePWrLskNm4/s72-c/10533122_599692773491008_719688768534374343_n.jpg)
USANII SIYO KUIGIZA AU KUIMBA HATA HUU NI USANII PIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-SgLj6d6oR2s/VHxDEtTqHuI/AAAAAAAAq1k/TePWrLskNm4/s1600/10533122_599692773491008_719688768534374343_n.jpg)
10 years ago
Bongo Movies24 Dec
Zamaradi:Hivi Unahisi Kama Nisingekuwa Mtangazaji Ningekuwa Nani!!???
Mtangazaji wa kipindi bora kabisa hapa nchi cha maswala ya filamu, kipindi cha “TAKEONE” kinachorushwa na kituo cha televisheni cha CLOUDSTV, Zamaradi Mtetema, ambae pia ni muandaaji wa filamu, aliwauliza mashabiki wake kupitia mtandaoni kuwa asingekuwa mtangazaji wanahisi angefanya kazi gani, majibu ya baadhi ya watu ndio yamenifanya swali hili nililete tena hapa kwenu.
Mbali na watu kadhaa kusema angekuwa “MODO”,wengi walisema angekuwa mwanasheria, polisi au wakili....labda ni kutokana...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfbInsB5bPTeKPqhD-lx8I5XDcvisLnWMVXZvcVDCVp-BSEuKBcxmGMSG0*t1E7JFVoGudwJkzBZ-5MPR4cuTi2f/HAWAGHASIA.jpg?width=650)
NINGEKUWA MIMI HAWA GHASIA, NINGEKUWA WA KWANZA KUJIUZULU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VMB94olbxS3Ht48tPv0pZhQCnB*s8R5hnosO*LixDEi-4fXuBaTABg2aqz4K*DEaSSHrTKjmEwHrLyMIPd3y7DKU6OP2jaIk/SANDRA.jpg?width=650)
STEVE NYERERE, SANDRA WAGANDANA KAMA RUBA
10 years ago
Bongo Movies21 May
Wastara: Siwahi Kuona Kiongozi Kama Steve Nyerere
Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amempongeza na kumsifu aliyekuwa mwenyekiti wa klabu ya Bongo Movies Unity, Steven Mengere 'Stive Nyerere' kwa kumuelezea kuwa ni kiongozi anayeweka wajali na kuwafikiria anaowaongoza.
Wastara alieleza hayo mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu ya Steve Nyerere akiwa kwenye kaburi la marehemu Adam Kumbiana.
“Hongera kaka kwa kikubwa ulichokifanya maneno yasikuludishe nyuma ukiona unasemwa sana ujue umewashika sijawahi kuona kiongizi wa...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-DYrBmGnWLho/VjLtofp8oII/AAAAAAAIDcQ/-pzCMwulDwE/s72-c/download.jpg)
Raila Odinga ampongeza Dkt Magufuli, amshauri Lowassa aende mahakamani kama hajaridhika
![](http://1.bp.blogspot.com/-DYrBmGnWLho/VjLtofp8oII/AAAAAAAIDcQ/-pzCMwulDwE/s640/download.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/po*b5pjX*enHWvp6vZaaVhmQg7aqUcz3PkIU5uYb4e9cGJsPt5EiTFGNibC5s6k4ca8VdhnDljk3q6iqE5uG5-b0fmSjUDrw/barnaba.jpg)
STEVE RNB ATANGAZA NDOA, BARNABA AMTOLEA MAHARI MAMA STEVE
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Dodoma ni usanii na utalii tu !!!