STEVE RNB ATANGAZA NDOA, BARNABA AMTOLEA MAHARI MAMA STEVE

Stori: Musa Mateja MSANII wa Bongo Fleva, Steven William ‘RnB’ juzikati aliweka wazi kuwa anatarajia kuoa Oktoba 11, mwaka huu huku mwanamuziki mwenzake Elias Barnaba akieleza kuwa amemtolea mahari mzazi mwenzake, mama Steve na siku si nyingi atafunga ndoa. Msanii wa Bongo Fleva, Elias Barnaba. Wakizungumza na Ijumaa kwa nyakati tofauti, wasanii hao kila mmoja ameonesha dhamira ya kuishi katika njia...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Jamtz.Com
11 years ago
GPL
STEVE RnB ALIVYOUAGA UKAPERA
9 years ago
Bongo507 Dec
Music: Steve RnB – Listen

Msanii Steve RnB ameachia wimbo mpya unaitwa “Listen”, Producer Mbezi.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
TZToday.jpg)
9 years ago
Bongo504 Dec
Steve RnB aeleza siri ya kudumu kwenye bendi ya Inafrika

Steve RnB ni muimbaji ambaye amedumu kwenye bendi ya Inafrika kwa muda mrefu, huku akiendelea kutoa kazi zake za binafsi. Ameelezea nafasi aliyopewa kwenye bendi hiyo na kumfanya adumu nayo kwa muda mrefu.
“Nilivyoingia Inafrika yaani pale mimi sikukaribishwa kama mtu amekuja kutembea, mimi nilifika pale nimepewa kama nafasi kwamba you’re a lead singer yaani hiyo ndio nafasi yangu.” Alisema Steve kupitia XXL ya Clouds Fm. “Tuko watu saba na kila mtu ana kazi ya kufanya….So pale Inafrika...
10 years ago
Dewji Blog14 Nov
11 years ago
Bongo518 Sep
New Music: Steve RnB — Pole Pole (Tropical Riddim)
10 years ago
Michuzi
steve nyerere atangaza nia

10 years ago
GPL
STEVE NYERERE ATANGAZA NIA YA KULIWANIA JIMBO LA KINONDONI