Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


steve nyerere atangaza nia

MSANII wa filamu nchini Steven Mengere 'Steve Nyerere' (kulia) ametangaza nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Kinondoni jijini Dar es salaam, huku akiwataka Watanzania wenzake kujitokeza kuandikisha katika daftari la wapiga kura, ili wasikose kupiga kura katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.  Akizungumza katika mkutano maalum wa kutangaza nia na kuhamasisha watu kujiandikisha, alisema kujiandikisha ni haki ya kila Mtanzania hivyo kwa vijana na wazee hakuna sababu ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE ATANGAZA NIA YA KULIWANIA JIMBO LA KINONDONI

Mwigizaji maarufu Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, akitangaza nia yake ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam, jana kwenye Viwanja vya CCM Kinondoni Bwawani. Mmoja wa viongozi wa Kata  hiyo akimkaribisha Steve Nyerere kwenye jimbo hilo. Steve Nyerere akiongea jambo na mmoja wa viongozi wa wanawake waliojitokeza… ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Steve Nyerere Kutangaza Nia Leo, Viwanja Vya Kinondoni Bwawani

Tuungane rasmi nami katika kutangaza nia kinondoni. Ndugu zangu punde mtakuwa na mkutano mkubwa kinondoni bwawani. Sehemu ambayo mimi nimezaliwa na kusoma na kuishi apo. So natangaza nia rasmi kuwa naweza kuwa mfano kwa vijana wenzangu. Kinondoni tumekuwa na mateso mbali mbali.

Kwa mfano mafuriko akuna kiongozi aliyeweza tatua, bara bara, mikopo midogo midogo kwa kina mama, ajila kwa vijana, ongezeko la ada mashuleni kupanda nani anakemea , uchafu wa wilaya, tiba kwa wazazi wetu leo mzazi...

 

10 years ago

GPL

MAKONGORO NYERERE ATANGAZA NIA, ASEMA ATAIOKOA CCM NA RUSHWA

Makongoro Nyerere wakati wa zoezi la kutangaza nia jana. Makongoro Nyerere baada ya kuvishwa vazi aina ya mgolole. Makongoro akifanyiwa maombi wakati wa…

 

11 years ago

GPL

STEVE RNB ATANGAZA NDOA, BARNABA AMTOLEA MAHARI MAMA STEVE

Stori: Musa Mateja
MSANII wa Bongo Fleva, Steven William ‘RnB’ juzikati aliweka wazi kuwa anatarajia kuoa Oktoba 11, mwaka huu huku mwanamuziki mwenzake Elias Barnaba akieleza kuwa amemtolea mahari mzazi mwenzake, mama Steve na siku si nyingi atafunga ndoa. Msanii wa Bongo Fleva, Elias Barnaba. Wakizungumza na Ijumaa kwa nyakati tofauti, wasanii hao kila mmoja ameonesha dhamira ya kuishi katika njia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Steve Nyerere: Wamenikomoa

MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amesema anaumizwa na baadhi ya wasanii ambao hawampi ushirikiano licha ya kumpa kura nyingi siku ya uchaguzi, akisema yaonekana walifanya hivyo ili...

 

11 years ago

Mwananchi

Lowassa atangaza nia kimtindo

>Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametangaza kuanza rasmi kwa safari aliyoiita ya matumaini ya ndoto zake, ambayo amesema itatimiza ndoto za Watanzania za kupata elimu bure, maji safi na maendeleo ya uhakika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Anndy Murry atangaza nia

Nyota wa mchezo wa Tennis Andy Murray amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa muda mrefu Kim Sears imeelezwa.

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AWAUMBUA MASTAA

Imelda Mtema STAA wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amewachana wasanii kwa kuwaita wanafiki kutokana na kuukacha uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika Uwanja wa Jangwani wiki iliyopita. Akizungumza na mwandishi wetu juzikati, Steve alisema ameshangazwa kuona baadhi ya wasanii kuikacha CCM na kuupigia debe Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ambao unaundwa na vyama...

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AFUNGUKIA MADAI

Mwandishi Wetu STAA wa uchekeshaji na filamu Bongo, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ amefungukia madai ya kujiondoa Chama Cha Mapinduzi na kujiunga na umoja wa UKAWA akisema kushindwa kwake katika kura za maoni hakuwezi kuondoa heshima yake kwa Mwenyekiti wake, Jakaya Kikwete. ...Soma zaidi===> http://bit.ly/1P5OMBB

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani