Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


STEVE NYERERE AWAUMBUA MASTAA

Imelda Mtema STAA wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amewachana wasanii kwa kuwaita wanafiki kutokana na kuukacha uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika Uwanja wa Jangwani wiki iliyopita. Akizungumza na mwandishi wetu juzikati, Steve alisema ameshangazwa kuona baadhi ya wasanii kuikacha CCM na kuupigia debe Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ambao unaundwa na vyama...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Steve Nyerere Awapa Makavu Baadhi ya Mastaa Wenzake wa Bongo Movies

Staa wa bongo movies, Steve Mengere ‘ Steve Nyerere’ amesema hana mpango na shutuma mbalimbali zinazosemwa  na baadhi ya  wasanii wenzake kwani Mungu atamlipa kutokana  na uvumilivu wake

Steve nyerere aliyasema hayo na kuweka wazi kuwa kuna watu wanamchafua ambao hawana ishu yoyote hapa mjini zaidi ya kutupia picha kwenye mitao ya kijamii na kujinadi kwa nyumba nzuri na na magari ya kuazima.

“ Unajua kuna mambo kibao ya kufanya katika jamii lakini watu hawayaoni zaidi ya majungu  tu  hao...

 

10 years ago

GPL

MAGUFULI AWAUMBUA MASTAA!

Mwandishi Wetu KUFUATIA kuwepo kwa makundi yaliyotokana na watangaza nia 42 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliokuwa wakiwania nafasi ya urais, mastaa waliokuwemo ndani ya makundi hayo wameumbuka kufuatia ushindi wa John Pombe Magufuli,  Risasi Mchanganyiko lina ‘full’ stori. Soma zaidi===>http://bit.ly/1SmlWO2  

 

11 years ago

GPL

STEVE NYERERE AWAANDALIA 'DINNER' MASTAA NA WADAU WA FILAMU

Waigizaji na baadhi ya waandishi wa habari wakiwa tayari kusubiri chakula cha usiku kilichoandaliwa na Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere. Wolper na Kajala wakibadilishana mawazo wakati wa hafla hiyo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Steve Nyerere: Wamenikomoa

MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amesema anaumizwa na baadhi ya wasanii ambao hawampi ushirikiano licha ya kumpa kura nyingi siku ya uchaguzi, akisema yaonekana walifanya hivyo ili...

 

9 years ago

Bongo Movies

Steve Nyerere Alishwa Sumu

STAA wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kula chakula chenye sumu na kulazimika kukimbizwa katika Hospitali ya Hurbert Kairuki Memorial iliyopo Mikocheni jijini Dar, Amani  linakupa ripoti kamili.

Kwa mujibu wa chanzo, Steve alifika hotelini (jina linahifadhiwa) kupata chakula cha jioni na marafiki zake ambapo baada ya kula kidogo akaanza kulalamika tumbo linamuuma.

“Baada ya kula chakula alianza kushika tumbo na kulalamika kwamba...

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AFUNGUKIA MADAI

Mwandishi Wetu STAA wa uchekeshaji na filamu Bongo, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ amefungukia madai ya kujiondoa Chama Cha Mapinduzi na kujiunga na umoja wa UKAWA akisema kushindwa kwake katika kura za maoni hakuwezi kuondoa heshima yake kwa Mwenyekiti wake, Jakaya Kikwete. ...Soma zaidi===> http://bit.ly/1P5OMBB

 

10 years ago

Michuzi

steve nyerere atangaza nia

MSANII wa filamu nchini Steven Mengere 'Steve Nyerere' (kulia) ametangaza nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Kinondoni jijini Dar es salaam, huku akiwataka Watanzania wenzake kujitokeza kuandikisha katika daftari la wapiga kura, ili wasikose kupiga kura katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.  Akizungumza katika mkutano maalum wa kutangaza nia na kuhamasisha watu kujiandikisha, alisema kujiandikisha ni haki ya kila Mtanzania hivyo kwa vijana na wazee hakuna sababu ya...

 

11 years ago

GPL

STEVE NYERERE AKOMBWA IPAD

Na Mwandishi Wetu
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Steve Mangere ‘Steve Nyerere’ amejikuta akimwaga machozi baada ya kuibiwa Ipad yenye thamani ya Sh. Mil 1. Steve Mangere ‘Steve Nyerere’. Tukio hilo lilitokea juzikati katika Ukumbi wa jengo la Akemi, Golden Jubilee, Posta jijini Dar ambapo Steve alikwenda kuhudhuria uzinduzi wa sinema ya mwigizaji, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ na...

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AAIBIKA UWANJANI

Dustan Shekidele, Morogoro
NYOTA wa kuigiza sauti za watu maarufu aliye pia mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ wikiendi iliyopita alijikuta akiaibika kwa kuzomewa na kupopolewa kwa chupa za maji na mashabiki wa Klabu ya Simba baada ya kuingia uwanjani na demu aliyevaa ‘kihasarahasara’. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’akiwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani