STEVE NYERERE AAIBIKA UWANJANI

Dustan Shekidele, Morogoro NYOTA wa kuigiza sauti za watu maarufu aliye pia mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ wikiendi iliyopita alijikuta akiaibika kwa kuzomewa na kupopolewa kwa chupa za maji na mashabiki wa Klabu ya Simba baada ya kuingia uwanjani na demu aliyevaa ‘kihasarahasara’. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’akiwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
NYERERE ALIVYOLIZA WATU UWANJANI-2
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Steve Nyerere: Wamenikomoa
MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amesema anaumizwa na baadhi ya wasanii ambao hawampi ushirikiano licha ya kumpa kura nyingi siku ya uchaguzi, akisema yaonekana walifanya hivyo ili...
11 years ago
GPL
STEVE NYERERE AMUONYA WEMA
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Steve Nyerere: Mimi si shoga
MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amekerwa na alichosema uzushi dhidi yake kwamba ni shoga. Kupitia ukurasa wake wa facebook, msanii huyo alisema anachukizwa na kasumba ya baadhi...
10 years ago
Michuzi
steve nyerere atangaza nia

11 years ago
GPL
STEVE NYERERE AFUTWA UANACHAMA
9 years ago
Bongo Movies13 Nov
Steve Nyerere Alishwa Sumu
STAA wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kula chakula chenye sumu na kulazimika kukimbizwa katika Hospitali ya Hurbert Kairuki Memorial iliyopo Mikocheni jijini Dar, Amani linakupa ripoti kamili.
Kwa mujibu wa chanzo, Steve alifika hotelini (jina linahifadhiwa) kupata chakula cha jioni na marafiki zake ambapo baada ya kula kidogo akaanza kulalamika tumbo linamuuma.
“Baada ya kula chakula alianza kushika tumbo na kulalamika kwamba...
11 years ago
GPL
STEVE NYERERE AKOMBWA IPAD
11 years ago
GPL
STEVE NYERERE, BATULI HAPATOSHI