STEVE NYERERE AFUTWA UANACHAMA
![](http://api.ning.com:80/files/szrS1FfaDDKe6I-CwQOY1GMcj7wss3ddXq*S-AM5hnd8lgA-okwpA3gVDpX6SH4-IEM4VEo3mI1PZpjdFxpiI7l0ol*TBGuT/steven.jpg)
Stori: Deogratius Mongela Mshtuko! Siku chache baada ya kujiengua kwenye nafasi ya uenyekiti katika Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ anadaiwa kufutwa uanachama wa klabu hiyo. Aliyekuwa mwenyekiti katika Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Chanzo cha ndani ya klabu hiyo kimepenyeza madai kuwa, wameamua kumvua uanachama Steve kwani wanaona ni...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Steve Nyerere: Wamenikomoa
MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amesema anaumizwa na baadhi ya wasanii ambao hawampi ushirikiano licha ya kumpa kura nyingi siku ya uchaguzi, akisema yaonekana walifanya hivyo ili...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qeusznqd6Yl8rz*ye9N8WMXFSLGPOfxYHImu-7mQofxlbQhDvrix722EAyyiK06KXGJiANinGteyLZlLzAxIFU3yAwCSXUsO/steve.jpg?width=650)
STEVE NYERERE AWAUMBUA MASTAA
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Steve Nyerere: Mimi si shoga
MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amekerwa na alichosema uzushi dhidi yake kwamba ni shoga. Kupitia ukurasa wake wa facebook, msanii huyo alisema anachukizwa na kasumba ya baadhi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-j31ozEYYytU/VZEErgnwL0I/AAAAAAAHlhs/iscjbxdxwxY/s72-c/unnamed%2B%252812%2529.jpg)
steve nyerere atangaza nia
![](http://4.bp.blogspot.com/-j31ozEYYytU/VZEErgnwL0I/AAAAAAAHlhs/iscjbxdxwxY/s640/unnamed%2B%252812%2529.jpg)
9 years ago
Bongo Movies13 Nov
Steve Nyerere Alishwa Sumu
STAA wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kula chakula chenye sumu na kulazimika kukimbizwa katika Hospitali ya Hurbert Kairuki Memorial iliyopo Mikocheni jijini Dar, Amani linakupa ripoti kamili.
Kwa mujibu wa chanzo, Steve alifika hotelini (jina linahifadhiwa) kupata chakula cha jioni na marafiki zake ambapo baada ya kula kidogo akaanza kulalamika tumbo linamuuma.
“Baada ya kula chakula alianza kushika tumbo na kulalamika kwamba...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwk2SO0wEl2lczDUB8-R17d7odd*4lERDpPVd*RsZ4AF7jF4zGnI-JHSckkKvxvxO9yyzfX5lQqF3Cspf58MsJjV/steve.jpg?width=650)
STEVE NYERERE, BATULI HAPATOSHI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSkVT8NUzNmEnwoMieUIWix-ZckMbASZXUs4tLQjrZ5Noqi8bm5eZlgr96ju2xbGMRP0mDdvrDYGzU1SQRAKYyYS/steve.jpg?width=650)
STEVE NYERERE AFUNGUKIA MADAI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5Yhq4i4w-bA0LV4BJ31rwUKTjwW0HXR1hzkf-t28qlMZJm4Gq*ZC6B13F5fKoc9AqRLvqpIAPnbfYuuZE44F47Ck/wem.jpg?width=650)
STEVE NYERERE AMUONYA WEMA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OyRBKp4pk3RkELY1eQCtg0vgVnAVbxN7qhC0PKBUjUKgj3FFg8AmlVpBndSOKflooCwUI-9PqRW6MsecV69KZP33I65EwWDs/steven.jpg?width=550)
STEVE NYERERE AKOMBWA IPAD